Ila sio kuzidi investment ya DSTV katika tasnia ya habari hasa za michezo.
wale wame invest million of dollars na sio madafu ya Tsh. aliyoweka AZAM TV.
Mie natumia Azam na nawapongeza kwa hatua hiyo ila kazi bado in kubwa,nawashauri waoneshe ligi fulani kati ya zile 3 kubwa za Ulaya walau watuoneshe hata moja alafu kwa Africa waoneshe na ile ya Ghana na ama Congo DRC walau zina mvuto
hivi nyinyi mliochangia mada hii nani mwenye dstv nyumbani kwake au mnaisikia tu kwa kuonyesha mipira azamtv kwachanel hamfiki dstv hata kwa ncha ya ukucha
dstv hamiliki ligi ya uingereza bali chama cha mpira cha uingereza fa ndio wenye mamlaka haya.
kama azam ataweza kumzidi dau dstv inawezekana kabisa 100% kuonyesha.
ngoja nikupe mfano hai kabisa ambao umetokea, nchi za kiarabu aliekua na tenda ya kuonyesha ligi ya uingereza ni abudhabi sport kwa muda mrefu, jamaa hawa wa aljazeera wakapanda dau na kushinda wao haki za kuonyesha hivyo wakapokonywa abudhabi wakapewa aljazeera.
dstv hata wawe na chanell elfu 1 za maana, azam akitimiza vigezo vyote kumzidi dstv basi fa watawapa azam epl
Sijaelewa mkuu, kwani tenda ya kuonesha EPL mpaka ipewe kampuni moja tu? DSTV si wanaweza kuendelea kuonesha na Azam na wenyewe wakapewa haki ya kuonesha:what:
Sijaelewa mkuu, kwani tenda ya kuonesha EPL mpaka ipewe kampuni moja tu? DSTV si wanaweza kuendelea kuonesha na Azam na wenyewe wakapewa haki ya kuonesha:what:
niulize swali wadau. iv azam tv wana network gani kubwa hapa afrika hadi mdiriki kufikir kuwa wanaweza kuipiku dstv? wako south, nigeria, ghana, angola nk? wanaweza lakn miaka mingi ijayo na kama dstv watalala ucngiz. ivi mnafikir kama FA wanalipwa $20m na dstv kuonesha epl kwn sabsahara afrika, basi azam wakipeleka $25m basi fasta FA watawapa tender azam? kuna vigezo vingi siyo bei tu wadau. hii ni kama tenda ya ujenzi au nyngnezo. all in all azam wanajitahd ukilinganisha na wengine wa hapa tz lakn msiwape kichwa sana kuliko uwezo wao. nawapa big up azam tv lakn wakaze buti
Mi nadhani walichofanya azamtv kizuri ni kutafuta KWANZA bei ya huduma. Kisha wakaamua kuwa bei ndogo sio huduma hafifu. Waliowengi wanawapenda DSTV kwa LIGI YA UINGEREZA tu. Zipo program kama Nat. Geo. Wild na BBC series kama Entertainment, Knowledge etc ni za "Elite". Lakini bei ya DSTV bei ya kuiona Ligi ya Uingereza Live bei yake inajulikana.
Kwa bahati mbaya watazamaji wa tv nyumbani 80-90% ya muda wote ni dada zetu, wake zetu, mama zetu na wadogo zetu. Hawa kwa muda mwingi hawana haja ya Premier League, BBC Knowledge, wala History Channel. Na hawa ndio wanaowanyima DSTV usingizi. Kwa vile yale yoote wanayotaka kwa sasa yapo Azamtv. Hata kama una DSTV nguvu ya wadau hawa ni kwamba lazima uwaletee Azamtv, we kaa na Chelsea au Man U zako!!!!
niulize swali wadau. iv azam tv wana network gani kubwa hapa afrika hadi mdiriki kufikir kuwa wanaweza kuipiku dstv? wako south, nigeria, ghana, angola nk? wanaweza lakn miaka mingi ijayo na kama dstv watalala ucngiz. ivi mnafikir kama FA wanalipwa $20m na dstv kuonesha epl kwn sabsahara afrika, basi azam wakipeleka $25m basi fasta FA watawapa tender azam? kuna vigezo vingi siyo bei tu wadau. hii ni kama tenda ya ujenzi au nyngnezo. all in all azam wanajitahd ukilinganisha na wengine wa hapa tz lakn msiwape kichwa sana kuliko uwezo wao. nawapa big up azam tv lakn wakaze buti
Nadhani kunakitu hakijawa sahihi hapa. Watu hawataki kufanya utafiti kabla hawajaleta taarifa ambazo hazina ukweli wa kitaalamu.Kwenye biashara watu wanaojua hawahangaiki na jinsi unavyoanza, wanacheki mipangilio yako ya mbele, dstv.
kwa sasa dstv wanaweza wasitishwe sana na azam ila kibiashara pengine wakichungulia miaka kadhaa mbele na trend ya azam wanaona kitisho halisi. Hiyo ndio market control strategy
idoyo, kama kuna wakati mtu ametumia intellect kumjibu mwingine huu ni mfano mzuri sana. Ilishaniboa alivyomnanga mtoa mada. He was rude to say the least. Strangely mtoa mada alionyesha uungwana mkubwa na hakumrudishia insults. Ur Congrats.
....ahsante mkuu....ujue watu wengine ni kuwaacha tu...