Azam huu nao ni ubaguzi

Ndio maana tunasema wametolewa kafara hao
 
basi Kama ndo hivyo,AZAM itaifishwe mara moja maana hii ni hujuma na pia ni moneylaundry kabisa
 
Unachoongea ni Kweli kabisa
 
Sasa wanakishambulia kituo cha azam kisa mwenye kituo muislam
afute!!!..udini unamsumbua,maana cha kukosoa hana,walidai azam inaajiri kidini,lakini katika marehemu..wengi ni wa dini isiyo ya azam
 
Azam wamekosea sana, warekebishe hilo kosa haraka sana kwani uwezo wa kufanya hivyo wanao tena mkubwa tu.

 
Hili la Udini ni uzushi
TIDO NI MUISLAMU?
CHARLES HILARRY NI MUISLAMU?
IVONA KAMUNTU NI MUISLAMU?
WALIOFARIKI AJALINI WATATU NI WAKRISTO WANGEKUWA WABAGUZI UNGEKUTA HAO WOTE NI WAISLAMU
MBONA ITV IDADI KUBWA JE WAO NI WABAGUZI?
 
Jambo ninalojiuliza kwanini siku zote baseless blaming zinaelekezwa Azam ??
 
Hivi mna uhakika na povu mnalotoa au ndio kumaliza stress?
Hao madereva na konda wake wana ajira yao na taratibu zao za kazi
La muhimu ni kua Azam wamezika wafanyakazi wao kwa heshima.zote kila.marehemu kulingana na imani yake
 
Kwani hao wa5 wote waislamu? Mbona naona Silvanus hapo, ni jina la kikristo hilo.
 
Uthibitisho wako ni upi sasa au kuwa karibu, azam wamesema wamesafirisha miili 5 au wewe ndio ulikua rubani
 
Kama mind zetu ndio hizi zimejaa udini,sizani kama tutakuwa na vision kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.
 
Mkuu Nimepitia Pitia Comment Za Wajuzi Wa Mambo Hapo Juu Nimegundua Kuwa Katika Kusafirisha Miili Ya Marehemu Hakuna Ubaguzi Uliotokea Maana Wajuzi Wa Mambo Wanasema Miili Ilikuwa Saba Kunako Ndege Iliyosafirisha Miili Hiyo!!!!......Ila Mimi Nilipoumia Na Nlipoona Ubaguzi Ulipotokea Ni Jinsi Azam Wanavyotangaza Vifo Vya Staff Wao Watano Tu Na Huyo Dereva Na Msaidizi Wake Wanawekwa Kando Tafikiri Hata Wakitangazwa Watapata Kiki Kupitia Media Yao Ilihali Watu Wenyewe Washajipumzikia Zao Na Matatizo Ya Hapa Duniani Na Hakuna Faida Yoyote Watakayopata Marehemu Hao Wawili Hata Hao Watano Wao
 
Mkuu ukweli ni kwamba miili iliyokuja ni mitano,hiyo miwili imefatwa na kosta nyingine ya tajiri.

Kosta inapaki mabibo sio biafra au ubungo external
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…