digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,292
Hayo mambo hapo juu kama ni kweli yanasikitisha sana, wangefika salama wangewashukuru madereva pia.1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.
2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...
😂😂😂Aisee duuhHaya ma azam Jana ndio yamelazimishwa kupiga nyimbo za kikristo tangu yafungue li TV lao wapuuzi sana
Kwani kuna ubaya?Haya ma azam Jana ndio yamelazimishwa kupiga nyimbo za kikristo tangu yafungue li TV lao wapuuzi sana
Ulitaka kaswidaaa swala wewe.Haya ma azam Jana ndio yamelazimishwa kupiga nyimbo za kikristo tangu yafungue li TV lao wapuuzi sana
Habarini wakuu...?
Poleni wafiwa wote kwanza
Mie nimeliona hili toka jana azam mnavyotangaza kufiwa na staff wenzenu
1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.
2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...
Mkumbuke lakini hata hao madereva ukute walikua wateja wenu kwa namna moja, lakini ninyi mmejiangalia kama ninyi tu kwenye shida.
Mungu mkubwa kupitia clouds fm nimewasikia madereva wa coaster wa biafra na external nao wamesema wanajipanga kusafirisha miili ya wenzao hao pia wizara ya utalii imesema itawasaidia....
NOTE
Azam kumbukeni hata msiba wa lucky Vicente serikali haikubagua kwamba huyu ni dereva alisababisha ajali au hawa ni wanafunzi na walimu, bali ilitoa heshima ya maziko kwa wote.View attachment 1149596
Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.
Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.
Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho
Inasikitisha kwa kweli. Walitakiwa wasafirishe miili yote saba. Walitakiwa wawasiliane na ndugu za hao madereva. Watu wabaguzi jamani. Tena kwenye matatizo jamani.
Mleta Uzi soma hii na futa uzi wako mara moja.Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.
Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.
Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho