ni kweli ndio wanapoelekea,,wameshapata wateja wa kutoshaNa mimi huu ndio mtazamo wangu. Na sasa hivi wameifanyia maboresho lakini dalili zinaonesha nayenyewe tutaanza kulipia soon. Kama akina startimes.
SangaweJr
Ule mtandao wao sijui umeishia wapi, vitu kama hivi inapendeza ukinunua kwa jumla.ni kweli ndio wanapoelekea,,wameshapata wateja wa kutosha
swali linakuja wabongo wapo tayari kulipia hela ya bundle pamoja na application?
sijajua mtandao wao walipofikia,, hilo wazo ni zuri sana walifanyie kazi,,Ule mtandao wao sijui umeishia wapi, vitu kama hivi inapendeza ukinunua kwa jumla.
Eeeeeeeeh kuuuumbeeeee shwaini zao wengine hatuna hivyo ving'amuzi tupo mavyuoni huku tunatumia computer na simu wasitufanyie makusudi na wao.....huwa napata taabu kipindi cha mpira aseee unafungua channel haifunguki mfyuuuuuuuusio wanafeli ,, wanaiblock kwa muda ili mlipie king'amuzi chao.....
ni business as usual
Game zile pendwa jamaa wana fanya yao...Eeeeeeeeh kuuuumbeeeee shwaini zao wengine hatuna hivyo ving'amuzi tupo mavyuoni huku tunatumia computer na simu wasitufanyie makusudi na wao.....huwa napata taabu kipindi cha mpira aseee unafungua channel haifunguki mfyuuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha ndio hivyo wanavyofanya,,,Eeeeeeeeh kuuuumbeeeee shwaini zao wengine hatuna hivyo ving'amuzi tupo mavyuoni huku tunatumia computer na simu wasitufanyie makusudi na wao.....huwa napata taabu kipindi cha mpira aseee unafungua channel haifunguki mfyuuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app