Kama ni kweli...ATC kwaheri
wadau hii ni breaking news from reliable sources ya kuwa shirika jipya la ndege liko mbioni kuanzishwa hivi karibuni....shirika hilo jipya ni Azam Airlines ambayo imeshaweka order ya Airbus tano kwa mujibu ya tovuti ya Airbus....route za ndege hizo zinatarajiwa kuwa ni Dar to Kilimnjaro, Dar to Mbeya, Dar to Zanzibar, Dar to Mwanza na Dar to Mtwara....huu ujio utatusaidia sana wasafiri wa ndani ambao tumekua tukitegemea sana huduna za FastJet...
I wish siku moja nipande from Dar to Zanzibar
kwa ungo au ?
wakuu hii habari njema.. Hatimae azam hivi karibuni itashusha ndege 5 hii itasaidia tulio kuwa tunawategemea fastjet kuturaHisishia safari.... ruti zake ni kirimanjaro,mwanza,zenji,mbeya na mikoa baadhi...Kwa mujibu wa tovuti ya airbus
bakhresa ni shidaaah
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara