Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

Ving'amuzi vya kiswahili hua hata bure sivihitaji.

Msemo wa kimombo kua cheap is always expensive. Ving'amuzi vya kiswahili vina bei mdogo ila huduma mbovu na uswahili mwingi.

Dstv endelea kuwafundisha waswahili namna ya kutoa huduma bora.
 
King'amuzi cha Azam kimeletwa maalumu kwa ajili ya wazanzibari na waislam ukiangalia azam maudhui ya burudani ni michezo na sinema peke yake na hata sinema zingine zina mambo ya oman kama ya sultani kwa hivyo siyo rafiki sana kwa wapenda burudani bhasi kila ukifungua channeli unaskia Allahhhh....siyo kudhihaki lakini hawa jamaa strategy yao ya haijakaa kibishiara ila ki ajenda zaidi..
Chaneli zenye mafundisho pia ni haba kwa azam nikaamanisha chaneli za science,makala mbali mbali za kijografia na historia kwa mimi nimeona hakuna au zipo zinazobabaisha ... ila ukisogeza tuu qaswida..Tena ndo iwe ijuumaa sasa ...Aaaaah ah hh...
 
Acha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
 
hivi bado kuna watu wananunua vingámuzi vya kulipia tu karne hii? aisee hayo majanga mnajitakia wenyewe poleeni sana. wale tuliofunga madishi ya futi 6 na receivers za FREE TO AIR tunacheka kwa dharauuuu! hayo mambo ya kulipia ni zama za mawe za kati.
 
startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
Aiseeee! Startimes kwa wenye dish wana channels nyingi kuliko kisimbusi chochote zinafika hadi 1000 hadi brazzers tv ya porno ipo ila ni ujuzi wako tu ili upate acces yake ionyeshe!

AFCON inaonekana startimes kwenye machanel ya nchi kibao ila kama una cha antena unaweza kukichoma moto ni mara elfu 50 Azam
 
hivi bado kuna watu wananunua vingámuzi vya kulipia tu karne hii? aisee hayo majanga mnajitakia wenyewe poleeni sana. wale tuliofunga madishi ya futi 6 na receivers za FREE TO AIR tunacheka kwa dharauuuu! hayo mambo ya kulipia ni zama za mawe za kati.
Dekoda gani ya FTA unapata local zote za bongo? Tsh ngapi inauzwa?
 
Back
Top Bottom