Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

sie ilikua Tambaza tena fellowship maana shule zetu zilikua mbalimbali
asubuhi tukitoka hosteli tunapita MZIZIMA kwa watoto wa kishua wanadrive wenyewe
Ulisoma pia TAMBAZA advance......????

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ni yengela ticha wa history

Mkuu MO11 ulipata story enzi zile mwl Mchwampaka aliponunua tv?
Lakini uongo mbaya unaonaje mkuda kama Mchwa umpe kitengo kama PCCB/kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya kuna fisadi atakaebaki uraiani?
 
Last edited by a moderator:
Wale WA jangwani tuliokuwa Enzi za Tegisa mwalimu mkuu miaka ya 1986 wapi
 
DAh Azaniaa...nakumbuka sana mihogo ya Hussein...kama ikiwezekana ianzishwe movement ya tuliosoma Azania Jangwan na Zanaki...
 
umenikumbusha mbali ulikuwa ukingia mikononi mwa huyu mama hutoki salama, na yule mbeba pochi wake mama lema uwiiiiii nilikuwa namchukiaje.

weweee acha mama lema jamani alikua full kujiependekeza yaani mama mramba alikua anaogopeka lloohh
mruma nae second master yupoyupo tu
mam mramba nakumbuka siku moja katuambia tukae chini pale assembly watu tukawa tunasita akasema"natamani niwapeleke sweden mkaone wenzenu wanaingia darasani peku peku"(kwa sauti ya kichaga)
 
Ukali wake hadi kwa walimu, alikuwa kama Mungu mtu vile. Mama malenga mzee wa siketi, Mr. Juma na Maliki walikuwa wanaboa na viingereza vyao vya chini ya mti assembly tunawazomeaje, ila sijui kwanini rebo nyekundu ilikuwaga fujo miaka yote.

Ila sitamsahau Mtoni na Otieno walikuwaga powa na Madam Abeid alikuwa anachamba hatari mtoto wa magomeni yule.
 
umenikumbusha mbali sana mpenzi
mama sketi anasema hataki ona macho ya miguu
mama abedi jamani kwa michambo lloooh na mam bakari
mwl mwilike ndo alikua ananiua na kiinglish chake lazma ucheke
mama sketi anatusema sie tuna tabia mbaya wakati wanawe vigui walivyokua wanavaa vya ajabh tupu
 
Kipindi niko jangwani (1996-1999) kulikuwa na P,Q,R,S,X,Y na Z..Hakukuwa na T.. Darasa lilokuwa linaogopewa ni P..Full vipanga humo.!

Duh Shikamoo kwanza.....Form two T walikuwa wanakaa wale walorudia mtihani wa form Two wa taifa....wajeuri haoo....nilisoma X na S.......

P ni always vipanga.....
 
umenikumbusha mbali sana mpenzi
mama sketi anasema hataki ona macho ya miguu
mama abedi jamani kwa michambo lloooh na mam bakari
mwl mwilike ndo alikua ananiua na kiinglish chake lazma ucheke
mama sketi anatusema sie tuna tabia mbaya wakati wanawe vigui walivyokua wanavaa vya ajabh tupu

Ila mama sketi alikuwaga na watoto wazuri balaa, had I twajiuliza wake kwelii hasa yule wa kiume.
 
....mr Mbowe (rip), nilikuwa enzi za mama mkamati (rip). Mrs mabula academic enzi hizo. Mwalimu Mkichwa wa physic bado yupo jamani, dah siku zinakimbia!!

Mwalimu mkichwa si ndo yule mwenye miguu mibovu? nilimuacha pale....Mimi nilianza pale ndo Mabula kakabidhiwa u Head. .. .
Usitaje mwaka ntaumbuka.....
 
Ila mama sketi alikuwaga na watoto wazuri balaa, had I twajiuliza wake kwelii hasa yule wa kiume.

sanaaa yule mkaka alikua anasoma sijui sheby roby
ma mramba akifika shule na prado dereva anabeba mkoba wake yule mpika chai wake nimemsahau jina anapokea simu anaenda nazo ofisini
pale beach kijiwe story
 
Back
Top Bottom