Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,231
- Thread starter
- #41
alishajibiwa mapema tu , haya ndio madhara ya kukurupuka , masikini mnawaza kula tuAkikujibu nitag
alishajibiwa mapema tu , haya ndio madhara ya kukurupuka , masikini mnawaza kula tuAkikujibu nitag
Wewe mbwa hata kupigwa risasi kwa tundu Lisu ulifurahia. Wewe una maslai katika uonevu na kutokutenda haki. Ni mnufaika wa ushetaniNitatetea watu wanao onewa.
Ila sina muda wa kutetea nyumbu wanaopimama ubavu kwa starehe zao.
Kama unaambiwa usifanye jambo fulani halafu wewe ukasema sikubali ni lazima nifanye, maana yake umeona unaweza kupambana.
Sasa umepigwa unatafuta huruma utafikiri sisi ndio tulikuta.
kila ubaya utalipwaWewe mbwa hata kupigwa risasi kwa tundu Lisu ulifurahia. Wewe una maslai katika uonevu na kutokutenda haki. Ni mnufaika wa ushetani
Kabisa wako tayari ushetani wao kuutetea kwa njia yoyote ya kutokumpendeza MUNGUKawaida wabambikiaji huwa wanatazama yalipo maslahi yao tu, hata kama ni kwakusema uongo au kutenda maovu dhidi ya wale wanao hatarisha maslahi yao.
Kabisa Mkuu maana imeandikwa MUNGU AMEFANYA KILA JAMBO KWA KUSUDI, NAAM HATA WABAYA KWA SIKU YA UBAYA. siku yaja aliyeuwa kwa upanga afe kwa upangakila ubaya utalipwa
Chama cha mapinduzi kilishagakufa sasa hivi ni policcm
Tunamalizia kupambana na hao polisi wenukama kilishakufa chukueni nchi sasa
Huwezi kujadili kitu ambacho hakipo.Hakuna chama kinaitwa ccm ni ccm-magaidi
Mtandika kitanda Cha Mwamba huyo nyumbu achana nae.Nipe siri basi wewe umetajirikaje ili na mimi nikatajirike.
Mnataka Rais aanze kuingilia mambo ya kisheria?Rais Samia tunakuomba umwagize DPP amwachie huyu kiumbe wa Mungu. Nimemaliza.
Sirro hawachukii wapinzani, anawachukia CDM sababu hawana adabu! Mtu yeyote anayejiheshimu nchii hii hawezi kuipenda/kujiambatanisha na CDMLabda Igp mwingine siyo huyu. Anavyowachukia wapinzani!!
Utawala dhalimu kabisaDhuluma dhuluma dhuluma!
Uonevu wa kijinga kabisaKama huna namna ya kumsaidia angalao tuchukie uonevu na manyanyaso kwa wengine,kwa ubambikiaji na uonevu kwenye siasa zisizo zingatia haki na sheria
Tunamalizia kupambana na hao polisi wenu
Ndio hapo sasaHuwezi kujadili kitu ambacho hakipo.
Acha kulia lia na kujitetea kama unatoka kupigwa miti. Fungua hekalu basi uwaite wanywa mbege wenzio mhubirianeDalili tosha za kuwa mnufaika wa ushetani. Umeamua kusimama upande wa ushetani lakini Utaki uambiwe kuwa upo upande wa ushetani. Mwana wa ibilisi na tamaa za baba yako ibilisi ndizo unazopenda kizitetea uonevu,uuwaji, kubambikia watu kesi ni vitu vinavyoufurahisha moyo wako.
Sio huduma yangu. Kazi yangu kuwaambia ukweli Mapooza wa akili Kama weweAcha kulia lia na kujitetea kama unatoka kupigwa miti. Fungua hekalu basi uwaite wanywa mbege wenzio mhubiriane