Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,525
Mganga nasema 3+ huko, kisha Bournemouth ana maliza kaziMuhimu kushinda game ya burnley.. tena goli nyingi mnooo
Mganga nasema 3+ huko, kisha Bournemouth ana maliza kaziMuhimu kushinda game ya burnley.. tena goli nyingi mnooo
Kwa goal difference ilivyo tukijichanganya tukasuluhu tu city akasjinda, ngumu kulipata, kimahesabu.Mganga nasema 3+ huko, kisha Bournemouth ana maliza kazi
Sikiliza kijana, mi ndie chief kumba kumba arsenal bingwa wa epl amini kwambaKwa goal difference ilivyo tukijichanganya tukasuluhu tu city akasjinda, ngumu kulipata, kimahesabu.
Demu kaingia geto, kakaa kitandani haina haja ya kutongoza.Sikiliza kijana, mi ndie chief kumba kumba arsenal bingwa wa epl amini kwamba
Anaweza kuwa mchawi, muulize ana taka nini 😂Demu kaingia geto, kakaa kitandani haina haja ya kutongoza.
Unapeleka moto tu, mchawi nae anasikia uroda..Anaweza kuwa mchawi, muulize ana taka nini 😂
Oya tushinde Leo, ili city akazwe keshoUnapeleka moto tu, mchawi nae anasikia uroda..
BAada ya kazi nzuri ndio atachagua akuroge akose burudani au akuache aendelee kufaidi kipisi cha nyama
Tukishinda leo ni kuna 98% ya ubingwa.Oya tushinde Leo, ili city akazwe kesho
Sio 98 ni 99.8Tukishinda leo ni kuna 98% ya ubingwa.
MUhimu ushindiSio 98 ni 99.8
3M halafu salary sh ngapi?Soka letu lina changamoto, kuna vitu ukisogea ndio unajia kwanini wakati mwingine tunasajili sawadogo na uwezo unaonekana kabisa mbovu.
Siwezi ongelea saana maana haitapemdeza lakini tulijaribu timu fulani ya mkoa, kocha mkuu akampenda ila akataka milioni 3 kwanza ili apitishe jina. Na hiyo hkuficha aliweka wazi kabisa, huyu ni mzuri lakini aweke 3 ili ampitishe, ikashindika.. Tumlipe baada ya kusaini kagoma.
Shida kubwa kwa wakati huo hakuwa nayo3M halafu salary sh ngapi?
Trust me kaka 3M siyo hela ndogo ila kama inaamua future yako siyo shida kuitoa.