Timu yake kwao ilimuita, ikabidi arudi kishingo upande..Mwaka umeisha huu vp bado anapiga ndondo
We sema alikosa soko na sio timu yake kumuitaTimu yake kwao ilimuita, ikabidi arudi kishingo upande..
Nimesoma kwenye vyombo vya habari vya Nigeria kuwa ndoto za jamaa ilikuwa acheze ligi ya Tanzania!!We sema alikosa soko na sio timu yake kumuita
Unataka taarabu tena, kwa kiwango chake si cha kukosa timu, anacheza kwenye timu zetu 4 yoyot pale qnapata namba,We sema alikosa soko na sio timu yake kumuita
Sahihi.. bila connection hutoboi, ila kuna muda jamaa huwa kama hana zali vile, tushawahi kuzungumza nae akakiri maisha yake hayaelewi elewi, utotoni alipata kwenda brighton kwenye majaribio, lakini dili lake lilikufa kizembe kizembe tu.. akianza kuongea inabidi umstopishe unaona mtu atalia muda si mrefu.Connection kitu muhimu sana kwenye mambo ya mpira. Na ukitaka kula lazima wengine wale!!
Umbo lake labda halikuwapendeza waalimu wa mpira bongo, au mtu wa kati alitaka maslahi makubwaHii 1st touch kama baba mkwe ni mtu wa boli anaweza kukupa mwanae bure kabisa.
Unajua ni kwa nini wachezaji huwa wanazidai timu za bongo mishahara yao au fedha za kusaini mikataba?Na hakuna mambo ya ******* siyapendi kama hicho kitu kinaitwa 'connection'. Hizo connection ndo zinaleta(ga) wachezaji wa hovyo kama akina Andy Boyelli na Papa Ndaw na kuacha Wachezaji wa maana. Bloody fucken connection!
Umeeleza vyema sana Chief. Hao middlemen kwenye soka letu ni janga sana aiseee. Bora hata Eng.Hersi anayeingia front kusaka Mchezaji yeye mwenyewe, kule kiwngine uhuni ni mkubwa sana.Unajua ni kwa nini wachezaji huwa wanazidai timu za bongo mishahara yao au fedha za kusaini mikataba?
Hao mtu kati huwa wanasaini mikataba Kwa niaba ya watu watakaolipa mishahara kwa niaba ya klabu husika.
Mchezaji ikigundulika yupo chini ya kiwango, mlipa mshahara anagoma. Lakini mchezaji ana mkataba na klabu na siyo mlipa mshahara.
Matokeo yake mchezaji akiachwa kihuni anaishtaki klabu wakati tatizo limeletwa na mtu kati. Kwenye kesi mchezaji anashinda na klabu inalipa.
Alipofeli yeye alikuja hana connection hili ndilo tatizo la kuu, watu waliomleta yeye ndio kwanza wanaanza hii kazi, so walikurupuka baada ya kuona ligi ya bongo kuna pesa...Umbo lake labda halikuwapendeza waalimu wa mpira bongo, au mtu wa kati alitaka maslahi makubwa
Bongo uhuni mwingi sana, kupitia yeye nimeelewa hili.Umeeleza vyema sana Chief. Hao middlemen kwenye soka letu ni janga sana aiseee. Bora hata Eng.Hersi anayeingia front kusaka Mchezaji yeye mwenyewe, kule kiwngine uhuni ni mkubwa sana.
Kaamua kujirudia zake kwao, saa hizi anakiwasha hukoNatumai Shaffih Dauda atamwona na kumtafutia timu kwenye ndondo cup.