makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,631
- 109,037
- Thread starter
- #61
Yes, pengine umboUmbo lake labda halikuwapendeza waalimu wa mpira bongo, au mtu wa kati alitaka maslahi makubwa
Yes, pengine umboUmbo lake labda halikuwapendeza waalimu wa mpira bongo, au mtu wa kati alitaka maslahi makubwa
Kama umri unamruhusu anaweza akatimiza ndoto ya kusakata kabumbu hapa nchini.Kaamua kujirudia zake kwao, saa hizi anakiwasha huko
Nilichopenda zamani watu wetu walikuwa wanatamani kucheza Afrika Magharibi ila Sasa Afrika Magharibi ndiyo wanatamani kucheza hapa nchiniBasi Pamba ilaaniwe, na isisonge mbele kwa kuendekeza ujinga. Managers wa vilabu vya Ulaya wangekuwa wanaendekeza huo upuuzi soka lao wala lisingekuwa kubwa.
Ligi yetu inalipa vizuri sana, hiki kinawavutia wao...Nilichopenda zamani watu wetu walikuwa wanatamani kucheza Afrika Magharibi ila Sasa Afrika Magharibi ndiyo wanatamani kucheza hapa nchini
Umri unaenda, umri wa passport tayari 26.Kama umri unamruhusu anaweza akatimiza ndoto ya kusakata kabumbu hapa nchini.
Na soka letu tunafeli kwa sababu za kijinga namna hiiBasi Pamba ilaaniwe, na isisonge mbele kwa kuendekeza ujinga. Managers wa vilabu vya Ulaya wangekuwa wanaendekeza huo upuuzi soka lao wala lisingekuwa kubwa.
Siyo mbaya sana.Umri unaenda, umri wa passport tayari 26.
Intelligent businessman njoo utoe rate yako na uchambuziSiyo mbaya sana.
Nyingine hii msimu huuKwenye hizo video anazunguuka kama kishada na kuwapa kizunguzungu wenzake... huyu si wa kukosa timu hata kidogo
Yes, ninazo.makaveli10 sikuuona uzi kwa wakati, maana kama ninge jua kuna wazee wako mwanza na hata dar wana nguvu ya kumpa nafasi hata team hizi za chini kwenye league.
Nambba yake si unayo?
Basi tuta bonga, ila si anajua kula na ma jobless wenzie au ana taka zile 12per months zote ale yeye?Yes, ninazo.
Hana tabu huyu.. yuko tayari kula na mtu we ikiwa safi niambie, tuyajenge, alirudi kwao ili apate kucheza na kwenye profile yake transfer market isionekane kakaa muda mrefu bila timu.Basi tuta bonga, ila si anajua kula na ma jobless wenzie au ana taka zile 12per months zote ale yeye?
Intelligent businessman njoo uone balaa la huyu muhuni,Hii turn, najiona mimi kwenye ubora wangu, kiungo lazima uwe mnyumbulifu, sio kiungo unakuwa mgumu kama unakula mawe.
Mgese ana jua, ngoja arsenal iwe bingwa kwanzaIntelligent businessman njoo uone balaa la huyu muhuni,
Tayari ana assist kama 15 huko kwao
Sijui ni riziki, sijui ni connection..Huyu anafaa kucheza no 10 anakosa vipi timu premier
Muhimu kushinda game ya burnley.. tena goli nyingi mnoooMgese ana jua, ngoja arsenal iwe bingwa kwanza