hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,139
Bado muda anao mwingi Sana"... Atavuka hiyo stage
Hapana mkuu, Sema Curry kama ataendelea kuwa kwenye peak kwa misimu kadhaa ijayo ndio anaweza kuwa na hizo sifa.
Mj amekuwa MVP mara karibu mara 6, Curry ni mara 2 kaa sikosei. Mj anatuzo ya defensive player, Curry hana. Sasa ukiona mtu anayefunga na kudefence maana yake anaibeba timu sana tofauti na Curry yeye si mzuri katika defence japo kwa three points scoring kamzidi MJ.