Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,078
- 25,041
Huyo jamaa aache kutumia picha zangu anazingua
Huyo jamaa aache kutumia picha zangu anazingua
Huyo ni ww kipindi hicho una id nyingi nadhani hata Nourhan ni id yako we dogo 🤣Huyo jamaa aache kutumia picha zangu anazingua
HahahaView attachment 1094423
Ayesha akiwa na mume wake Steph
Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini tangu ameolewa na mumewe hajawahi kutongozwa na mwanaume yoyote mwingine, anasema jambo hilo linamsikitisha na anahisi kuna tatizo.
Nini maoni yenu wadau?
Mzee nime toka kuangalia clip za way back, even kobe appreciated that kid.Steph is just an expert in 3 pts...
Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...
That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
Kutongozwa sunaMme wake atakua hampi maneno mazuri, mpaka anamiss kutongozwa
Ila cha mbele kipo