AY kuvaa bendera ya KENYA kwenye video mpya imekaaje??

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
sisi watanzania tumekuwa tukilia lia kuwa wakenya wanatudhulumu vitu vingi sana kama vile mlima kilimanjaro, madini ya tanzanite na kadhalika, lakini leo nimeshangaa baada ya kumuona AY amevaa kofia yenye bendera ya kenya katika video ya nyimbo ya IZZO bizness iitwayo miss bizness, hii imekaaje? naona kama vile anawatangaza wakenya tuu badala ya kujivunia Utanzania wake
 
Hiyo ni marketing ndugu, ikiwa jamaa ana-target Kenya kama moja ya consumers wa product zake basi lazima ajitahidi ku-design product ambazo zitawavutia watumiaji wake. Mara nyingine Man u wanamsajili Kagawa/Park ku-mainatain mashabiki wa East Asia....:alien::alien:
 
hivi angevaa ya USA ungeanzisha uzi huu? Inahitaji AWARENESS zaidi. Kimsingi labda anataka kuwasilisha ujumbe fulani kwa hadhira iliyokusudiwa.
 
Hivi huo wimbo umekuwa pya tena? Ay is doing marketing
 
sisi watanzania tumekuwa tukilia lia kuwa wakenya wanatudhulumu vitu vingi sana kama vile mlima kilimanjaro, madini ya tanzanite na kadhalika, lakini leo nimeshangaa baada ya kumuona AY amevaa kofia yenye bendera ya kenya katika video ya nyimbo ya IZZO bizness iitwayo miss bizness, hii imekaaje? naona kama vile anawatangaza wakenya tuu badala ya kujivunia Utanzania wake

ndugu, hiyo ni bendera ya Uganda kwenye video...wacha presha.
 
Kuna mahali wameandika kuwa dogo anataka kununua nyumba na kuhamishia biashara zake huko kwa mzee Moi.

images
 
Hiyo ni marketing ndugu, ikiwa jamaa ana-target Kenya kama moja ya consumers wa product zake basi lazima ajitahidi ku-design product ambazo zitawavutia watumiaji wake. Mara nyingine Man u wanamsajili Kagawa/Park ku-mainatain mashabiki wa East Asia....:alien::alien:

Nadhani wewe na yeye wote hamjitambui angeweza kutafuta hayo masoko kwa njia nyingine bila ata kutangaza bendera ya taifa jingine ndo mana ata AKON kila kukicha na bendera la TAIFA lake SENEGAL au ukuwaona TEVEZ na AGUERO walivyokuwa wanazunguka na bendera ya ARGENTINA siku MAN CITY wamechukua ubingwa pia mfano wa KAGAWA kusajiriwa MAN hauendani tungeweza kufananisha na MSANII wa TZ kumshirikisha MKENYA kwenye wimbo na si MTZ kuvaa bendera ya KENYA sababu MAN pamoja na kumsajiri KAGAWA uwa awazunguki wamebeba BENDERA ya japan.
 
Watch out your tone Mr conservative. Ungeweza sema tu hukubaliani na maoni yangu si ati sijatambui???..inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa namtazamo juu ya mambo yanayokuzunguka.:alien:
 
Asante kwa kudhani mimi ni MUHAFIDHINA(conservative), ila sikuwa na neno jingine ambalo lingewafaa wewe na MWANAMUZIKI AMBWENE YESAYA zaidi ya hilo HAMJITAMBUI.
 
Nadhani wewe na yeye wote hamjitambui angeweza kutafuta hayo masoko kwa njia nyingine bila ata kutangaza bendera ya taifa jingine ndo mana ata AKON kila kukicha na bendera la TAIFA lake SENEGAL au ukuwaona TEVEZ na AGUERO walivyokuwa wanazunguka na bendera ya ARGENTINA siku MAN CITY wamechukua ubingwa pia mfano wa KAGAWA kusajiriwa MAN hauendani tungeweza kufananisha na MSANII wa TZ kumshirikisha MKENYA kwenye wimbo na si MTZ kuvaa bendera ya KENYA sababu MAN pamoja na kumsajiri KAGAWA uwa awazunguki wamebeba BENDERA ya japan.

we nawe unaongea?kwanini hukujiita MKALITANZANIA badala yake ukajiita MKALIKENYA??Badili kwanza jina then tuendelee na mada...LOL
 
sisi watanzania tumekuwa tukilia lia kuwa wakenya wanatudhulumu vitu vingi sana kama vile mlima kilimanjaro, madini ya tanzanite na kadhalika, lakini leo nimeshangaa baada ya kumuona AY amevaa kofia yenye bendera ya kenya katika video ya nyimbo ya IZZO bizness iitwayo miss bizness, hii imekaaje? naona kama vile anawatangaza wakenya tuu badala ya kujivunia Utanzania wake

Mbona wasanii kibao wanavaa mavazi yenye Nembo za Jamaica hatuwasemi?Au kwakuwa wanawakilisha asili ya mmea wanaopendelea kuutumia?
 
Wacha ufara mvivu mwenyewe, afu endeleeni jidanganya wabongo wavivu
 
Je wewe unajitambua MKALITANZANIA.......aghrrrrr sorry I mean MKALIKENYA

Back
Top Bottom