AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

Uchumba wa hivi hauwagi wa moja kwa moja mnatrngana miaka mitatu wa nne mnarudiana,mnakaa miwili unafuata mnatengana,sema watu tukihesabu tunafululiza mm wangu miaka 12!sasa mpk kero.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ndo mapenzi,wanajuana wamekubaliana,kuachana hao saiv ni Marachache sana.
Cyo siku mbili nikuoe af kesho unaleta mambo mengiiiii na visingizio visivyo na mipaka.

Hongeren sana wadada mjifunze,kwa wenzenu.

Kama mke profesa na mke Wa Ay wamewavumilia sana waume zao.

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Kubwagana na kurudiana mwisho mnaambulia maradhi mke Jay kaachwa miaka zaidi ya mi5 mpk kurudiana na kufunga ndoa!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unawezaje kuishi na mwanamke chini ya dari moja kwa miaka nane halafu hata tumbo haliumuki?
Hawa watu waende kwa Mwingira wakapate maombi, huenda kuna shida kwenye mfumo wa uzazi...
Huwezi just maisha ya watu pengine walipanga wasizae Kwanza,acheni kupangia watu maisha

Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa watakuwa wagumba, miaka minane ya kubanduana hawajatiana mimba. There's a problem
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ni upuuzi!
IMG_smrxwo.jpg


May Allah bless Me and You
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom