AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Hakuna kusubiri tena! Ay amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake remy aliyeishi nae kwa miaka nane.

Ilikuwa hivi:

Walikuwa wametoka Dinner, walikuwa na washkaji wao wengine mara ghafla mzee wa Ankara akapiga goti, na hakusubiri tena ageuka akatoa pete na kumvisha Remy.

Hii ni baada ya siku chache rafiki yake Professor Jay kumkana Mwana Fa kwamba asubiri subiri kwanza, na kuvuta jiko saafi.

Wote mtaaamini sawa kwamba jamaa kawa Inspired na ndoa ya Mbunge wa mikumi.
upload_2017-7-14_11-58-4.jpeg

upload_2017-7-14_11-58-20.jpeg
 
du hhaahahahahahahahahah 8 yrs ? aiseee hatar sana sasa mbona wadada wa mmjin ukimtokea tu within three month anaanza kununa ukimuuliza why anakwambia hajui mwisho wenyi shwain kumbe kuna watu wanamwaga mitindo 8 yrs alaf wako kawaida wala hawastuki

hahaaaaa eti hajui mwisho wenu
Mchumba wa Ay ni mcute jamani......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom