Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
306877_400085210062256_1762077818_n.jpg

Kuna habari zisizo rasmi kuwa Leo Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Najma kufikisha miaka 21 ..So Diamond atatumia Fursa Hiyo kumvisha pete ya uchumba na kuuambia Ulimwengu kuwa wako pamoja baada ya tetesi za muda mrefu.
 
Maumivu ya ajali ya jana Msasani yeshaisha mara hii keshaanza na kushehereka.
 
Watadumu kwa muda gani? Jokate alimbatiza "Sukari ya warembo"!!!! Wema na Jokate mpo?
 
306877_400085210062256_1762077818_n.jpg

Kuna habari zisizo rasmi kuwa Leo Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Najma kufikisha miaka 21 ..So Diamond atatumia Fursa Hiyo kumvisha pete ya uchumba na kuuambia Ulimwengu kuwa wako pamoja baada ya tetesi za muda mrefu.
kwani nae ni mwanamuziki
 
Hivi ni kweli kwamba penzi la chriss brown na rihanna wa bongo ndo limefika tamati?.kudadadeki mi siamini!
 
na bado!mbona wachache hao!
yani mabinti bwana lol!
 
Ndo anagonga hapo sasa hivi enh!! Watagongwa sana *****..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
306877_400085210062256_1762077818_n.jpg

Kuna habari zisizo rasmi kuwa Leo Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Najma kufikisha miaka 21 ..So Diamond atatumia Fursa Hiyo kumvisha pete ya uchumba na kuuambia Ulimwengu kuwa wako pamoja baada ya tetesi za muda mrefu.

.....mwisho wa yote,,, wasiwasi wangu ATAOLEWA YEYE
 
Back
Top Bottom