It always boil down to reality here:
Katoa wimbo leo unaitwa SAFARI,ndio unajengewa buzz na kiki zote hizi za UONGO...
Unajua mkuu,AY anazidi kuonekana mpumbavu kwa kutumia these old means kuuza kazi yake!
Na he is even stupidier kwa kutumia UONGO ,ku-claim ana vitu ambavyo hana ilimradi kujenga buzz ya kipumbavu namna hii!
He is just a a naive veteran musician trying hard to remain relevant kwa kusema UONGO.
Ni christmas imefika,ameona atoe single huwenda ikawa hot akapata shows here and there akapata kibarua aka-feed his family which is respectable,ila sio kwa kusema uongo namna hii!
I guess hata kutoa video yake imemshinda,katoa audio pekee yake,na what I do know watu wataitupa kapuni right quick!
View attachment 949423