mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,392
- 138,106
Acha wivuNgoja Trump amsikie, American Embassy mkuje huku kuna illegal aliens
Ova
Acha wivuNgoja Trump amsikie, American Embassy mkuje huku kuna illegal aliens
Kinachoshangaza ni kwamba jamaa anawaambia wekeni location ya hiyo nyumba hapo LA kisha yeye binafsi afanye research watu hawataki bali wamekalia kumuita hater!
Mimi binafsi huwa siwaamini wasanii wa bongo,wengi wao wana maisha mazuri instagram lakini huku mtaani ni choka mbaya kazi kutupiga virungu kutwa.
Watu wanapenda kuamini kila kitu hata kama ni controversial,mtu yeyote akiwa critical thinker anakuwa ni tatizo na huu ni utamaduni mbaya sana ambao umeingia hadi kwenye siasa za nchi.Ukihoji kitu unaambiwa sio mzalendo au unatumiwa na mabeberu,taifa limekuwa hovyo kabisa hili.
We jamaa una chuki hivi kati ya AY na Diamond nani ka anza kuimba na nje hasa US?Broker?
Niggaz,are you high?
AY has never been connected like Diamond is....na kua broker,what do you really mean?
Unajua how to book an international artist for a show or collaboration?Unajua process?
Na hiyo process inapitia kwa AY?Are you thinking using you butt or your head?
You people are in drugs!
Wewe ndio unatoa accusations kwamba AY ni muongo, kwa kawaida (kama hujui) ukitoa accusations zozote burden ya kuthibitisha hizo accusations inakua kwako. Kwahiyo burden ya kuthibitisha madai yako kwamba AY anatafuta kiki unatakiwa ipo kwako. Otherwise utakua unachokisema ni story tu( mnazopeana vijiweni?).Wewe mwenye ku-claim kumiliki hivi vitu ndio utuwekee umiliki wako hapa mezani,just attach papers hapa!
Sio mtu yeyote anaamka asubuhi anakuna pumbu zake anaona leo ngoja niseme nina Jumba LA just for the sake of it alafu tukubali bila udhibitisho,you people are high on your own supply aisee!
What wrong with you bro....Chuki za nn izo na AY kama yeye kasema uongo wewe tatizo lako nn au unafaidi nn na pesa au mali za AY mpaka povu ilo. Vijana tusifu vijana wenzetu wanao piga hatua sio majungu na roho mbaya
We jamaa una chuki hivi kati ya AY na Diamond nani ka anza kuimba na nje hasa US?
Oooh... Sasa nimeelewa, kumbe mabishano yote haya ilikua ni kumpambanisha na diamond? ? OkyMkuu taja hao wasanii....then kwenye column ingine taja wasanii wa Diamond then utajua maharage ni mboga na sio zao la Biashara!
Ndio utaona heavyweight ni nani!
AY amepita pita tu...na kua wa kwanza sio eti ndio umefanikiwa!
Hebu acheni kutuona vilaza bwana....This is too much now!
Wewe ndio unatoa accusations kwamba AY ni muongo, kwa kawaida (kama hujui) ukitoa accusations zozote burden ya kuthibitisha hizo accusations inakua kwako. Kwahiyo burden ya kuthibitisha madai yako kwamba AY anatafuta kiki unatakiwa ipo kwako. Otherwise utakua unachokisema ni story tu( mnazopeana vijiweni?).
Halafu kuna sehemu umesema numbers aren't adding up, nilikuuliza what are the numbers that dont add up ?? Show us the numbers.
Oooh... Sasa nimeelewa, kumbe mabishano yote haya ilikua ni kumpambanisha na diamond? ? Oky
Wewe una burden ya kuprove accusations kwamba AY ni "muongo tuu na anatafuta kiki" maana hizi accusations ni wewe ndio umezitoa, wewe umetoa accusations zithibitishe, simple!!Burden ya ku-prove umenigeuzia mimi?
Alie-claim ana hizi mali ni mimi au yeye?
Adhibitishe "UMILIKI",basi!
Hata mimi naweza sema nina hela zaidi ya Bill Gates,ni jukumu langu kuwadhihirishia na sio nigeuke eti niwaambie nyie mdhibitishe!
Ni semi-kichaa tu ndie anaweza kufanya hivi.....Im really sorry for you!
Tuelezeee vizuri?Cuz tunaona kama emotions zimetawala kuliko fact.Tuambie kwanini no uongo na kwa nini sio tajiri kibongo bongoNyumba au apartment?
AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!
Chezea Tutsi ni high maintenance women...
AY na jumba United States of America wapi na wapi?
Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?
Kiki za kizamani sana hizi!
Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
Wewe una burden ya kuprove accusations kwamba AY ni "muongo tuu na anatafuta kiki" maana hizi accusations ni wewe ndio umezitoa, wewe umetoa accusations zithibitishe, simple!!
Tuelezeee vizuri?Cuz tunaona kama emotions zimetawala kuliko fact.Tuambie kwanini no uongo na kwa nini sio tajiri kibongo bongo
Mimi na andika kiswahili una kuja na vingereza viingi ili uonekane msomi? nikianza kuandika lugha nyingine hapa tuta elewana! ?Kaanza AY sababu yeye ndio wa kwanza kuzaliwa...
Wangezaliwa mapema Diamond angeanza yeye!
Na kuanza haimaanishi ndio kafananikiwa!
Kama ni kutoka hapo Dar,then AY alifika Chalinze na Diamond ametoboza mpaka Kigoma kabisa!
How in your right mind can you compare Diamond na AY wewe?
You are making us suspect your intelligence fitness aisee!
How dare are you?How DARE?
All you AY minions are under influence,you are not in control of your well being kabisa!
What substance are you minions smoking?
Wewe kutokua na address haifanyi yeye kutomiliki chochote anachomilikiNi uongo mpaka pale atakapo tuonesha umiliki!
Hata address tu hamtoi,sasa hiyo nyumba ina exist wapi kama physical address haipo?
Yeye ndio katoa claims ambazo sio approved...tudhibitishie umiliki wako kama kweli wewe ni owner!
How can a true owner ushindwe kitu kidogo namna hii?
Msitufanye watoto aisee..We are offended mnachezea uelewa wetu kibwege bwege!
Mimi na andika kiswahili una kuja na vingereza viingi ili uonekane msomi? nikianza kuandika lugha nyingine hapa tuta elewana! ?
Wewe kutokua na address haifanyi yeye kutomiliki chochote anachomiliki
Natamani ungelikua unamjua AY in person....
1.Ay ni msanii kafanya shows kibao kwa muda mrefu.Niambie hela kapata wapi step by step...
Huwezi!
kwanini nisiwe na haki ya kusema ni uongo?
Narudia "wewe kutokua na address haifanyi Yeye kutomiliki chochote anachomiliki" na nilikuuliza what numbers aren't adding up kama ulivyo claim kua numbers aren't adding upPersonally unamjua wewe...we do not care!
Kitu kimekuja kwenye public domain.....Public ndio sisi,tunataka address!
Otherwise asingeileta kwenye public domain...!
hebu msituone mapumbavu kabisa!
Mkuu nimeanza kukuelewa kwa mbaali sana,sorry kwa kukuita hater,maelezo ya Nyani Ngabu na ufafanuzi wako umeniingia akilini🤝Mkuu ukishaingia kwenye mortgage tayari inatakiwa uwe walao permanent resident au citizen kabisa!
Sasa,kwa AY he has neither!
Hivyo possibility ya mortgage iondoe..Tunabaki na outright buy,ndio tunatua kwenye mziki wa 600,000USD...
Hesabu zote tumepiga hazipo upande wa AY kabisaaaa!