Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Kwa nilivyofatilia kuanzia page ya kwanza mpaka hii jinsi unavyojibu, no doubt unalipwa kwa kumchukia mshikaji na kama hulipwi basi unastahili a medal kwa kua volunteer mzuri na mahiri.... lolSijamchukia as a human being..
Nimechukia UONGO unaotoka kwake kwa ku-propagate LIES for stupid reasons like these!
Nikimchukia AY kuna mahali nalipwa?Is there any incentive I get?Nothing
This talk is nonsense!
Nilijua unamfahamu A to Z kumbe hata wewe hujui ishu anazofanya ila unatamani kuzijua mpaka akamiliki mjengo, inaweza isiwe kama hiyo pichan ila sio big issue kua na nyumba LA bhana.