Natafuta matibabu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 262
- 301
Inategemeana na sifa zako.Hv hapo kinachokuwa attached ni cheti cha form iv au diploma(transcript)..?
Mbona simpo tu,Kuna dogo nimetoka kumfanyia hiyo process Ila bahati mbaya deadline za application za chuo zipo tamatiKupata AVN kupitia NACTE ni ishu aiseee, na simu hawapokei.
Ivi je ata kwasisi tuliomaliza diploma mwaka huu tunaweza kufuatilia AVN na kuzipata then tukafanya application kaka!Inategemeana na sifa zako.
Kama uliingia Diploma kupitia Certificate, utatakiwa uweke Cheti cha Certificate, then matokeo ya Diploma.
Kama uliingia Diploma kwa matokeo ya form IV hapo haina haja ya kuweka cheti cha form four maana matokeo watayapata NECTA baada ya kuweka namba ya mtihani, then utaweka matokeo ya Diploma.
Hivyo ndivyo nilivyoelewa hiyo sehemu
It is okay sababu round 2 inaanza tareh 12 october tenaMbona simpo tu,Kuna dogo nimetoka kumfanyia hiyo process Ila bahati mbaya deadline za application za chuo zipo tamati
Kama umeambiwa usubirie baada ya masaa 120 jiandae kisaikolojia!Nimemaliza kujisajili wameandika ujumbe kuwa maombi yamepokelewa na yanafanyiwa kazi
Awards Verification Number. AVNnaombeni kujua matumizi aswa ya AVN
Tena fanyeni haraka sana.Ivi je ata kwasisi tuliomaliza diploma mwaka huu tunaweza kufuatilia AVN na kuzipata then tukafanya application kaka!
Kwa ambaye aliomba chuo moja kwa moja bila kupitia nacte nae pia analipia.?Ndio sh 10,000 labda wabadili mwaka huu Ila miaka iko hvyo
kwani unaweza kuomba chuo kikuu kwa nacte mkuuKwa ambaye aliomba chuo moja kwa moja bila kupitia nacte nae pia analipia.?
Avn n Bora uende ofisin Ila kutegemea mtandao wao cjui usubr masaa 120 hr niuongo...
Nliwah kusikia kuna vyuo unaomba kupitia nactekwani unaweza kuomba chuo kikuu kwa nacte mkuu
Nliwahi kusikia kuna vyuo unaomba kupitia NACTE
Vyeti vya kawaida una scan kuanzia form four, certificate na diplomaDaaah, hawa watu hawako serious na maisha ya vijana kabisa.
Sasa mkuu naamini una-experience katika hill, attachment ya cheti au transcription unascan ile original au copy yake ndo unawatumia..?
Vp kuhusu ofisi za kanda za nacte,zina msaada..?Au mpaka Nacte makao makuu dar es salaam!
Nipo hapa NACTE tangu saa 4 asubuhi, kinachosikitisha ni kuwa wanafanya kazi taratibu sana. Imagine mtu mmoja anahudumiwa karibia ndani ya nusu saa.Kama umeambiwa usubirie baada ya masaa 120 jiandae kisaikolojia!
Nipo hapa NACTE tangu saa 4 asubuhi, kinachosikitisha ni kuwa wanafanya kazi taratibu sana. Imagine mtu mmoja anahudumiwa karibia ndani ya nusu saa.
Sijui kwa nini mfumo wao ni hovyo kiasi hiki.
Ukitoka njoo hapa utupe ulicho toka nacho huko,ili tupate mwanga...!Nipo hapa NACTE tangu saa 4 asubuhi, kinachosikitisha ni kuwa wanafanya kazi taratibu sana. Imagine mtu mmoja anahudumiwa karibia ndani ya nusu saa.
Sijui kwa nini mfumo wao ni hovyo kiasi hiki.