Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,586
Huwezi kumtoa mwekezaji na kuvunja mkataba kama huna vigezo. Mwisho wa siku serikali itashitakiwa na kumlipa fidia mwekezaji kitu ambacho ni hasara kwa mlipa kodi. Dawa ni kumbana mwekezaji atimize wajibu wake, kama akishindwa ndio unapata sababu ya kuufuta mkataba.Kama Simon hawakuwa kampuni inayokidhi,serikali ilitakiwa kutafuta kampuni nyingine mbadala na kuikabidhi mradi huo.
Hakuna namna serikali kama serikali inaweza kuendesha miradi ya namna hii. Hakuna! Tusidanganyane! Tutaendelea kutesa tu wananchi ambao wanategemea usafiri wa umma.