Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,602
- 19,515
Na wewe acha kashfa na dharau kwa marehemu.Acha dharau na kashfa kwa mstaafu.

Atakayepokea kijiti ni JMBila Shaka mafisadi mmefurahi Sana, ni wakati wenu wa kula Bata, hata hivyo muombe Mungu Majaliwa asishike nchi 2025, mtalimia meno kudadeki
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Mazee!Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama
Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene
Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu
Imagine Kila project inaenda kijijini Chato
Imagine kila kizuri ni chato
Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu
Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto
Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi
Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana
Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee
Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali
Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
Update kutoka kwa mdau
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) Alikua mkabila sana
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu
Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili
Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu
Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia
Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.
Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake
Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana
Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.
Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.
Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Fisadi mwingine aliyekuwa amebanwa vilivyo na mzalendo JPM anashangilia kifo cha mpendwa wetu jana kwamba yeye kifo hakimhusu!! Yamkini na yeye amebakiza siku kidogo tu aende huko huko!!Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni

Umeiona hiyo Train wewe kalunguyeye au unaongelea Reli?Alitutoa ushamba kabla yake train ya umeme ilionekana mambo ya kusadikika na wanasiasa na mainjinia kutamka kuwa miradi ya umeme inagharimu pesa nyingi
Hata shetani kila siku anasemwa makanisani na misikitiniDaa hihi ni aina ya akili ndogo sana wakuu,haya tupeni mapya sasa mana hayupo lakini kilasiku nilalamika tu.
Nakazia 🔨Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama
Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene
Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu
Imagine Kila project inaenda kijijini Chato
Imagine kila kizuri ni chato
Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu
Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto
Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi
Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana
Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee
Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali
Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
Update kutoka kwa mdau
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) Alikua mkabila sana
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu
Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili
Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu
Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia
Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.
Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake
Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana
Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.
Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.
Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Legacy na consequences ndio zimeanza kazi. “Those who cannot remember the past are condemned to repeat it” - George Santayana (1863-1952).Let bygones be bygones...tuendelee kutafuta maisha hayo yashapita.
Kufia legacy ni sifa. Ni msimamo thabiti.Mbona wengine wakimtetea mnasema ni wafia legacy!!!!
Uhuru wa maoni uko wapi hapa!!!
Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.Hapa mtoa maada siyo siri una chuki binafsi. Kiukweli jamaa alikuwa hapendi mzaha linapokuja suala la utekelezaji wa jambo lolote. Mimi ni miongoni mwa watumbuliwa wa vyeti feki lakini nilipomuelewa wala sikumchukia isipokuwa janja janja yangu ndo ilikuwa kikwazo.
Rest in peace our late JPM
Akhsante kwa unyambuaji mzuri. Umenikumbusha jambo la busara kiukweli hakulitumia kwenye mfumo wake. Lakini yote yashapita hakuna namna kikubwa tu maisha yaendelee.Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.
Wako walimu na manesi wenye ujuzi na uzoefu wameondolewa bila kuangalia undani wa masuala yao. Shule na vituo vya afya vingi havina wafanyakazi wa kutosha. Haya mambo yanahitaji busara; sio mihemko ya kushabikia kukomoa watu na taifa. Kuita “vyeti feki” na kufukuza watu kazi kirahisi rahisi tu hakukuwa na nia njema kwa nchi. Hakukuwa na replacements. Aidha zoezi liliambatana na unafiki pia. Wako walioachwa bila kuguswa kwa makusudi.
Yes! uko sahihi na mpaka sasa!! wako njia moja!! huko ahera!! .....wanonyeshana mipaka!Yule Mzee wa kusini ndie aliyetuletea shida zote hizi.LEO TUNAANZA UPYA
Una akili sana weye mku!!! vile vilikuwa ndo vipaji haswaaa!! alivipurula puruuu!! ....... ila wale walikosa nafasi tu ya kujiendeleza kwa sababu tofauti tofauti, angewaendeleza tu! ... ila sasa mwendazake alifika mbali akataka kuwanyuka pia walio rudia darasa la saba wote!! na wale waliorushwa madarasa enzi za Mkoloni!! ajili ya uwezo wao lkn......Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.
Wako walimu na manesi wenye ujuzi na uzoefu wameondolewa bila kuangalia undani wa masuala yao. Shule na vituo vya afya vingi havina wafanyakazi wa kutosha. Haya mambo yanahitaji busara; sio mihemko ya kushabikia kukomoa watu na taifa. Kuita “vyeti feki” na kufukuza watu kazi kirahisi rahisi tu hakukuwa na nia njema kwa nchi. Hakukuwa na replacements. Aidha zoezi liliambatana na unafiki pia. Wako walioachwa bila kuguswa kwa makusudi.
Huu uzi utakuwa umeandikwa na mhanga wa vyeti feki aliyetumbuliwa, mshabiki wa dini fulani, mla rushwa, mafisadi,gege la chama fulani lenye tuhuma za kigaidiNdugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama
Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene
Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu
Imagine Kila project inaenda kijijini Chato
Imagine kila kizuri ni chato
Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu
Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto
Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi
Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana
Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee
Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali
Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
Update kutoka kwa mdau
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) Alikua mkabila sana
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu
Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili
Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu
Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia
Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.
Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake
Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana
Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.
Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.
Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Sidhani kuwa walioondolewa ni wa aina hiyo unayosema ambao wako wengi nchini ikiwa ni pamoja na akina Dr Kigwangallah na Bashite. kama mifano michache; walioondolewa ni wale waliokuwa wameajiriwa kwa kutumia vyeti visivyokuwa vyao. Yaani watu waliotumia vyeti vya ndugu zao kutafuta kazi inayolingana vueti hivo; kwa mfano mtu anatumia cheti cha form 6 cha ndugu yake ambaye aliendelea chuo kikuu. Aliyemaliza chuo na cheti, diploma au digrii halali kupitia channel ambazo hazikunyooka kama unaowasema waliweza kuwa questioned lakini hakutolewa kazini iwapo vyeti vyao vya chuo vilikuwa halali.Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.
Wako walimu na manesi wenye ujuzi na uzoefu wameondolewa bila kuangalia undani wa masuala yao. Shule na vituo vya afya vingi havina wafanyakazi wa kutosha. Haya mambo yanahitaji busara; sio mihemko ya kushabikia kukomoa watu na taifa. Kuita “vyeti feki” na kufukuza watu kazi kirahisi rahisi tu hakukuwa na nia njema kwa nchi. Hakukuwa na replacements. Aidha zoezi liliambatana na unafiki pia. Wako walioachwa bila kuguswa kwa makusudi.
Jamani sasa huyo jiwe wenu mwenyewe alikuwa Rais Fake!!!..... aliiba hela za wenye vyeti fake kajenga riuwanja la ndege chato nalo fake tu!! ili atue yeye!! hata hakufaidi akafa,Huu uzi utakuwa umeandikwa na mhanga wa vyeti feki aliyetumbuliwa, mshabiki wa dini fulani, mla rushwa, mafisadi,gege la chama fulani lenye tuhuma za kigaidi