Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Mazee!

Screenshot_20211214-081844.png
 
Fisadi mwingine aliyekuwa amebanwa vilivyo na mzalendo JPM anashangilia kifo cha mpendwa wetu jana kwamba yeye kifo hakimhusu!! Yamkini na yeye amebakiza siku kidogo tu aende huko huko!!
 
Wananchi tulishangazwa sana na uongozi wa Magu lakini naamini Kikwete na Mkapa ndio walioshangazwa zaidi
 
Alitutoa ushamba kabla yake train ya umeme ilionekana mambo ya kusadikika na wanasiasa na mainjinia kutamka kuwa miradi ya umeme inagharimu pesa nyingi
Umeiona hiyo Train wewe kalunguyeye au unaongelea Reli?
 
Ukabila mtupu na huyu ndo alikua anatumiwa na mwendazake na Doto james kuficha mabilioni Canada
Screenshot_20220102-162125.jpg
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Nakazia 🔨
 
Hapa mtoa maada siyo siri una chuki binafsi. Kiukweli jamaa alikuwa hapendi mzaha linapokuja suala la utekelezaji wa jambo lolote. Mimi ni miongoni mwa watumbuliwa wa vyeti feki lakini nilipomuelewa wala sikumchukia isipokuwa janja janja yangu ndo ilikuwa kikwazo.
Rest in peace our late JPM
Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.

Wako walimu na manesi wenye ujuzi na uzoefu wameondolewa bila kuangalia undani wa masuala yao. Shule na vituo vya afya vingi havina wafanyakazi wa kutosha. Haya mambo yanahitaji busara; sio mihemko ya kushabikia kukomoa watu na taifa. Kuita “vyeti feki” na kufukuza watu kazi kirahisi rahisi tu hakukuwa na nia njema kwa nchi. Hakukuwa na replacements. Aidha zoezi liliambatana na unafiki pia. Wako walioachwa bila kuguswa kwa makusudi.
 
Akhsante kwa unyambuaji mzuri. Umenikumbusha jambo la busara kiukweli hakulitumia kwenye mfumo wake. Lakini yote yashapita hakuna namna kikubwa tu maisha yaendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.

Wako walimu na manesi wenye ujuzi na uzoefu wameondolewa bila kuangalia undani wa masuala yao. Shule na vituo vya afya vingi havina wafanyakazi wa kutosha. Haya mambo yanahitaji busara; sio mihemko ya kushabikia kukomoa watu na taifa. Kuita “vyeti feki” na kufukuza watu kazi kirahisi rahisi tu hakukuwa na nia njema kwa nchi. Hakukuwa na replacements. Aidha zoezi liliambatana na unafiki pia. Wako walioachwa bila kuguswa kwa makusudi.
Una akili sana weye mku!!! vile vilikuwa ndo vipaji haswaaa!! alivipurula puruuu!! ....... ila wale walikosa nafasi tu ya kujiendeleza kwa sababu tofauti tofauti, angewaendeleza tu! ... ila sasa mwendazake alifika mbali akataka kuwanyuka pia walio rudia darasa la saba wote!! na wale waliorushwa madarasa enzi za Mkoloni!! ajili ya uwezo wao lkn......

Majaliwa na wengine wakamshika mkono mzee hapo ulipofika inatosha.........ukizid hapa ntajiuzulu! akaona sasa heee!!....
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Huu uzi utakuwa umeandikwa na mhanga wa vyeti feki aliyetumbuliwa, mshabiki wa dini fulani, mla rushwa, mafisadi,gege la chama fulani lenye tuhuma za kigaidi
 
Kuna watu walitumia vyeti vya f4 vya ndugu zao ili kufikia sifa za kusomea ngazi zinazofuatia. Nina mifano ya waliofikia hadi kiwango cha BSc Engineering na B Med wakafanya kazi za kitaaluma kwa ufanisi miaka kadhaa. Anakuja mtu anawaondoa kazini kwa kigezo cha cheti cha f4. Anadai wana “vyeti feki”.

Wako walimu na manesi wenye ujuzi na uzoefu wameondolewa bila kuangalia undani wa masuala yao. Shule na vituo vya afya vingi havina wafanyakazi wa kutosha. Haya mambo yanahitaji busara; sio mihemko ya kushabikia kukomoa watu na taifa. Kuita “vyeti feki” na kufukuza watu kazi kirahisi rahisi tu hakukuwa na nia njema kwa nchi. Hakukuwa na replacements. Aidha zoezi liliambatana na unafiki pia. Wako walioachwa bila kuguswa kwa makusudi.
Sidhani kuwa walioondolewa ni wa aina hiyo unayosema ambao wako wengi nchini ikiwa ni pamoja na akina Dr Kigwangallah na Bashite. kama mifano michache; walioondolewa ni wale waliokuwa wameajiriwa kwa kutumia vyeti visivyokuwa vyao. Yaani watu waliotumia vyeti vya ndugu zao kutafuta kazi inayolingana vueti hivo; kwa mfano mtu anatumia cheti cha form 6 cha ndugu yake ambaye aliendelea chuo kikuu. Aliyemaliza chuo na cheti, diploma au digrii halali kupitia channel ambazo hazikunyooka kama unaowasema waliweza kuwa questioned lakini hakutolewa kazini iwapo vyeti vyao vya chuo vilikuwa halali.
 
Huu uzi utakuwa umeandikwa na mhanga wa vyeti feki aliyetumbuliwa, mshabiki wa dini fulani, mla rushwa, mafisadi,gege la chama fulani lenye tuhuma za kigaidi
Jamani sasa huyo jiwe wenu mwenyewe alikuwa Rais Fake!!!..... aliiba hela za wenye vyeti fake kajenga riuwanja la ndege chato nalo fake tu!! ili atue yeye!! hata hakufaidi akafa,

make ndege za wenye vyeti fake wa nje, pale hazitui kamwe!! wahindi, wafanya biashara wanapandia Bukoba mjini! na Mwanza! lingine sasa ambalo ni kichekesho cha mwaka ...

Mwendazake aliogopa kwenda kutoa hotuba ya kujitambulisha tu, kwa wenzake hapo UNGA saabu hajui kiingereza tu jamani! aliogopa maswali ya mbwembwe za waandishi wa hbr.......... Eti kasoma! mweee!! fake wa kwanza ni rais wako huyo!

sasa nani fake zaidi!!...alijuaje kuna fake?? ile ilikuwa chuki sababu wasomi hawakumpenda kiviiile si unaona kaenda kutibiwa na Madaktari wa bongo!! wakamfanyizia faster kiulainiii!! kuondoa mzoga .... haina lawama hiyo.......usicheze na Daktari wewe!!

Wenzake wanaenda nje kutibiwa mpaka leo alidhani walikuwa wana choma Nguru??? Mkwere huyo hapo, Tezi katibiwa hukooo!! ughaibuni! hela zipo sasa je! sasa gujiwe alikuwa anawatishia uhai Madaktari mara awaite fake!! wakamuonyeshea!

halafu alivokuwa mburula tena anarudi kwa hao hao eti akatibiwe mweee!!....... wakaona enheee!!...weee!! subiri tu....na ile mijamaa ina umoja Bongo nzima hakuna mfanowe! alichokosea ni kuwa ange wa train nyie wana chato wote muwe kada ya afya, madaktari,

lkn sasa ni shule ya miaka mingi!!....inahitaji vichwa vizuri! na nyie vichwa vyenu, ni viazi tupu mnge supp. mpaka basi!!.....Chato ndo basi tena mmeshindwa kuji control dhidi ya Umimi!! mtaishia kutumwa tu!
 
Back
Top Bottom