Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

Sgr Chato
Stiglers dam Chato
Msalato airport Chato
Mji WA serikali Chato
Ring road Bora EA Chato
Vituo vya afya vyote Chato
Kijazi interchange Chato
Brt phase 2 Chato
Ndege zote zipo Chato

Hii miradi yote ipo Chato na inatumiwa na wana Chato tu
Itakuwa umekasilika
 
Urafiki wake na Rwanda (Kagame) kwa tuliko toka kabla na yeye kwenda Kigali ni doa kwa usalama wa nchi. Go to hell

Wazalendo mtanielewa alichimba shimo lake kwa ulimi, ubishi, kutofuata taratibu, kuongoza nchi kichifu kama analea familia yake, alileta uongozi wa kisukuma kitaifa ni kosa hapana hapana kwa nini aliogopa demokrasia, hakuwahi kuwa mfariji wa taifa hakukemea utengano kwa vitendo, alidharau protocol.

Ufalme nchi hii hakunaga ukizingua tunakuzingua na Mungu anakuita fasta.

A traitor deserves a https://jamii.app/JFUserGuide, mnazugwa na miundombinu hio danganya totoz
 
Wewe ni wa kupuuzwa tu.
Maana wewe huna cheti cha form four. Kwani ulifeli.
Sasa naona unajibaraguza kubishana na mtu aliyesoma the then special schools, when were real special.
Anyways nenda kabishane na waenda mbinguni wenzako, pamoja na mambo mengine, kuhusu usafiri mtakaotumia kwenda huko.
Form four na ticha UPE siyo ujiko mkuu! badilika ufike!! ulifundishwa kweli?? na mtu hata asiye jua nini maana ya ticha! hata kiingereza chako ni matokeo ya UPE ! '' ''anyways'' lool!! pole!

uko sahihi ninge fundishwa na UPE km wewe ulivo fundishwa lazima ninge fail tu...... bora usisome kuliko kufundishwa na mjinga! ujinga!

Bakhresa. Mwita Gachuma, Manko trans! Mahafudh, Masamaki traders, zacharia trans, Gulamali family nk! hao hapo hawana vyeti chako fake but wanawalisha! wanawakopesha wa form four mishahara, wasomi km jiwe mnawateka lkn mnakufa nyie! wao mpaka kesho wapo safiiiii! umelewa au...naongea na kilaza flani ivi
 
Form four na ticha UPE siyo ujiko mkuu! badilika ufike!! ulifundishwa kweli?? na mtu hata asiye jua nini maana ya ticha! hata kiingereza chako ni matokeo ya UPE ! '' ''anyways'' lool!! pole!

uko sahihi ninge fundishwa na UPE km wewe ulivo fundishwa lazima ninge fail tu...... bora usisome kuliko kufundishwa na mjinga! ujinga!

Bakhresa. Mwita Gachuma, Manko trans! Mahafudh, Masamaki traders, zacharia trans, Gulamali family nk! hao hapo hawana vyeti chako fake but wanawalisha! wanawakopesha wa form four mishahara, wasomi km jiwe mnawateka lkn mnakufa nyie! wao mpaka kesho wapo safiiiii! umelewa au...naongea na kilaza flani ivi

Ahaa haa
Nimefundishwa na classmate wa Michael Nelkon (sijui hata kama unamjua huyu ni nani!!?). Maana nyie tangu muharibiwe na mungai, hamjielewi.
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!


Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Umeuongelea upande mmoja tu wa JPM upo upande wa pili ambao ni kuitakia mema Tanzania kwa yote aliyokuwa akiyafanya.

Alianzisha miradi mikubwa sana ambayo ikimalizika itachagiza maendeleo ya Tanzania kiuchumi.

Alijaliwa jeuri ya Utanzania ambayo wengi wetu hatuna. Ni rahisi sana kuwa wanyonge tunapokuwa tunashawishiwa na pesa pamoja na vitu kutoka kwa wazungu mpaka tunanywea. Kwa JPM suala hilo halikuweza kumsumbua hata kidogo.
 
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) aliwatukana wazungu adharani

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa hihi ni aina ya akili ndogo sana wakuu,haya tupeni mapya sasa mana hayupo lakini kilasiku nilalamika tu.
 
Mkwere alikuwa mwingi wa maneno na vicheko ila vitendo ilikuwa ni sifuri kabisa, yeye living room yake ni kwenye gulfstream, , halafu Ikulu ilikuwa ni bafuni tu; ila maisha yake yalikuwa angani na nje ya nchi. Tena ni afadhali wakati huo hakukuwa na Airbus wala Dreamliner, zingemkoma.
Acha dharau na kashfa kwa mstaafu.
 
Mtoa made.wew ni kabila sana. Wew mdini sana,ubinafsi wako utapata tangu sana.tubu.Tunazijua fikria za JPM Jemedali alisha dunia akiwa vitani tena mbele akipigana m mabeberu na vibaraka, Ametutoa gizani tulidanganywa sana
Sasa hatudandanyiki.na anaishi milele kwenye moyo wa mamilioni ya Tz.
 
Ameua watu wengi sana yule shetani!!!
20210604_172617.jpg


2748433_IMG_20201028_173703 (1).jpg


20210524_084345.jpg


20210604_172441.jpg


3044822_1782762_tapatalk_1528448721303 (1).jpeg
 
Nasikia nchi kama marekani Rais hawezi kujiamulia mambo anavyotaka tu.kuna vyombo Viko imara Kwa ajili ya kulinda misingi ya nchi na havioni aibu kumwambia Rais ukweli juu ya mwenendo wake.sasa Sisi naona hakuna chombo wala watu maalum wa kumdhibiti Rais.Hii ni mbaya sana tena ni hatari.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Marais wastaafu ndo kazi yao hiyo
 
Wengi wanaweza kusema mengi juu ya JPM, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba, JPM alikuwa mfano wa UKOMBOZI wa fikra za Mwafrika.
Alitutoa ushamba kabla yake train ya umeme ilionekana mambo ya kusadikika na wanasiasa na mainjinia kutamka kuwa miradi ya umeme inagharimu pesa nyingi
 
Afadhali fake kuliko usiye nacho kabisa km wewe!! sababu mwenye fake alisonga kimaisha ana akili! ya kuishi ktk nchi fake! ndo maana unaumia, na bado utaisoma tu!! fake haitaisha Duniani!! sababu Rais fake anakamata vyeti fake sababu alishiriki kutoa vyeti fake,

na kufundisha wanafunzi fake kwa elimu fake , anaufahamu na fake!! anaungwa mkono na fake populations km weye! Yeye aliupataje Urais si kwa kutumia kura fake!! akaongoza Bunge fake lisilo kuwa na wapinzani,

akafa na ugonjwa fake wa Atria fibrillations!! kuumbe kiuhalisia ni COVID! ...km haitoshi akaweka watawala fake kina Makonda si ndo wenye vyeti fake hao?? akawa na upendeleo fake!!

akaliogopa jeshi, Polisi, Magereza na huko ndo wamejaa wenye vyeti fake! karibu robo tatu yao sasa huyo si Rais fake?jamani au nakosea !! je hastahili kufa kifo fake km yeye mwenyewe ulivo fake??

sasa nani fake zaidi!! haya yoote jamni hee!! nani fake zaidi??? na wewe umo tu na huyo fake wako! kwa sababu unaongea ki fake fake! huna jipya! sasa km wewe huna chochote cha fake kwa Rais fake ni mburula wakutupwa! wafaa nini sasa!

Na chato mtaisoma number na likiwanja lenu hilo la ndege watatua kunguru!! ndg iende wapi hapo mashenzini! Mwanza tunao mzuri tu!View attachment 2056154tunatua hapo tunaenda zetu mpakani na kenya au visiwa vya saa nane! Butiama, Nyamongo kwenye dhahabu zinazoongea, au kutalii Serengeti N/Park! au kisiwa cha Maraha ukerewe,,,,,,

sasa huyo Fake mwenzio kaweka pale liuwanja fake la nini?? ana akili fake?? kwa kukwapua hela ya wenye vyeti fake amekufa na liuwanja linakufa kifo cha Mende kumbukumbu ya lazima kwishnee! aa!!

na huko kwenu chato hatujiiiii!! alilazimisha umaarufu wa lichato lkn wapi?? hata mtambike uchi! hatujiii! tuje kufanya nini kwanza! mtabaki na misemo rahisirahisi tuu! kusema povuuu! mara pointless huku mnakufa njaa!!

Mlizoea vya kunyonga sasa mtaisoma number!! na tumestuka!! chato kamwe hatutatoa nafasi ya rais tena! make wote nyie wagonjwa wa akili!! vichaa hamuelewi somo mnaogopa marais wenzenu?? !! kwa kusingizia matumizi mbaya? hiyo hela unatengeneza wewe???

Rais gani hajui Lugha ya kimataifa?? km hana cheti fake? tena bila aibu una muunga mkono rais fake!! amekfa ki fake sana!! hata hapo Kenya tu wenzake wameshindwa kumuita? sababu hakujua aongee Lugha gani!! ....kidhungu fake yule hakukijua.... hata wewe hujui kidhungu!

sasa km hana cheti fake utajengaje viwanja vitatu sehemu moja?
Umempa nondo Kali sana🔥🔥 huyo fake wa fake!!!
 
Back
Top Bottom