Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
 
Aisee..!!
 
Ujenzi maziwa yote chato
Miradi ya maji kutoka ziwa Victoria na ule kihistoria kule arusha chato
Treni ya dar Moshi na arusha chato
Mradi mkubwa wa maji wa rombo chato
Upanuzi bandari ya tanga na mtwara chato
Ujenzi wa viwanja 12 vya ndege chato
Elimu bila malipo chato
Utatuzi wa kero kwa mtindo kuhutubia barabarani chato
Kuanzishwa kwa safari channel chato
Kuanzishwa kwa tarura chato
Kurekebisha mikataba ya madini chato
Ujenzi wa hospitali za mikoa zaidi ya kumi chato
Ujenzi wa hospitali ya rufaa kusini mtwara chato
Kuingiza mifumo ya tehama ktk kazi ya serikali ili kukomesha uvujaji wa mapato na kuongeza uwajibikaji chato
Ujenzi wa veta chato
Kukataa lockdown na kuokoa maisha ya maefu ya watu chato
Kufufua kiwanda Cha viatu Moshi chato
Kusambaza umeme nchi nzima kutoka vijiji 2000 hadi kufikia vijiji 10000 kati ya vijiji 12000 chato
U

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Madude mengi hapo ni miradi ambayo ilikuwa kwenye ilani ya #CCM na si kana kwamba ni yeye aliiratibu, #JK alikwesha na kuifungua baadhi ya miradi nathubutu kusema unfeasible project ya ndege ndiyo mradi aliyeuanzisha.
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Wewe ni mwongo sana!! Unaposema kila kitu ni chato kuna madaraja mangapi ya juu huko chato? Kuna viwanda vingapi vimejengwa huko chato?

Kila mmoja anajua kuwa chini ya JPM nchi yetu iuliingia kwenye uchumi wa kati! Huwezi kutudanganya wala hatudanganyiki.
 
Tungekuwa kama Sri Lanka ambako licha ya mamiradi ya mabilioni uchumi umekolapse hakuna chakula wala fedha za kigeni..

Huko Pakistan watu wanapimiana vikombe vya chai.
 
Nenda kachome chanjo ya corona makalion ndo ujuwe kuwa mchele wa buku kg leo tunanunua 2200 huku mashambani msimu huu wa mavuno,mda mwingine uwa unaonekana kituko mbele ya watanzania wenzako punguza uchawa mtoto wa kike.
 
Inahusianaje na.hoja?

Na kutokana na kufungia mipaka , Mwendazake alichangia kufukarisha wananchi na kuua kilimo kwa sababu hakuna incentives za kukima,watu walianza kulima kwa ajili ya kujikomu tuu..

Mazao ya biashara kama korosho,kahawa,pamba,ufuta,mbaazi yalianza kujifia taratibu ndio alikuwa kugutuka mwishoni na akasema wakulima wanufaike na jasho lao na kwamba ukiona vina Bei shika jembe ukalime..

Na leo nakwambia tena ukiona mchele unabei kakodi shamba ulime Ili usinunue kabisa.. Mkulima hayuko kwa ajili ya kukufaidisha wewe wa mjini..

Jambo la msingi hata kg iuzwe 10,000 Cha msingi mchele upo..
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Ila Mungu wacha aitwe Mungu.
Vinginevyo taifa la tanzania lingeangamia
 
Angeendelea kidogo tu wezi wote wangekuwa historia.

Ila hata hivyo alichokifanya ni kama kakaa miaka yote 10.
 
Alikuwa vile vile na kichaa cha ngono, yasemekana alimzalisha mdogo wa mke wake aliyekuwa anamlea. Halafu Hawa mawaziri na ma DC kama akina Angela Kairuki, Jokate Mwegelo, Jenista Mhagama na wengine alikuwa anabaka tu
 
Duuh
 
Sgr Chato
Stiglers dam Chato
Msalato airport Chato
Mji WA serikali Chato
Ring road Bora EA Chato
Vituo vya afya vyote Chato
Kijazi interchange Chato
Brt phase 2 Chato
Ndege zote zipo Chato

Hii miradi yote ipo Chato na inatumiwa na wana Chato tu
na 1.5T plus 2020 uchafuzi
 
ukipita fly over ya dar huwa uoni aibu??
au ukiangalia SGR
Ukicheki hii miradi iliyotikisa africa hujioni mjinga
 
Sio wote wanaishi dar,
Halafu mwenzio ametoa point na ushahidi, ungemjibu kwa point tukaweza kumshambulia ila kihivi hawa jamaa wataendelea kuvuna point tu
 
ukipita fly over ya dar huwa uoni aibu??
au ukiangalia SGR
Ukicheki hii miradi iliyotikisa africa hujioni mjinga
Ni wapumbavu tu wanaopima mafanikio ya Rais kwa Ujenzi wa fly over. Ujenzi wa flyover kwa Kodi yako halafu kutekeleza ilani ya CCM haulalalishi UDHALIMU ambayo Magufuli amefanya dhidi ya watanzania.
Akina Nyerere walifanya mambo makubwa bila kubagua, kuua wala kukandamiza haki za raia. Nyerere alijenga barabara ya Dar-Tunduma na Reli ya TAZARA lakini alikuwa mkweli kwa mikopo na hakuchagua reli iende Musoma au Butiama
 
Back
Top Bottom