Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama Makamu wa Rais.
Visingizio hivyo ni pamoja na kusema
Katiba Mpya sio kipaumbele
Kwanza tunajenga uchumi
Lakini pamoja na hayo yote uchumi tunaambiwa umeshuka.
Magufuli kafa kaja Rais Samia. Tulitarajia labda angekuja na wazo tofauti na Magufuli lakini kumbe ni wale wale eti kwanza ajenge uchumi na hata mikutano ya vyama nayo kazuia licha ya kuwa Ni kukiuka Katiba.
Swali kwanini awamu ya 5 inaogopa Katiba Mpya? Mbona awamu ya 4 ilithubutu?