awa ndio mashabiki wa mpira walioangua vilio sana baada ya timu yao kufungwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
<small>
</small>








hao ni mashabiki wa mpira wa timu ya kenya inaitwa gormahia wakiangua vilio baada ya timu yao kufungwa,mkumbuke kuwa kenya vijana wengi uwa wanajinyonga pale arsernal inapofungwa na man united
 
wavutaji wa bangi tu hawa wanalia nini kama sio bangi kichwani inafanya vitu vyake
 
nimekumbushia tu mkuu sababu kila ikicheza arsenal na man u,lazima kijana ajinyonge kenya tena arsenal ikifungwa
Zaidi ya Selemani Omondi, unaweza kutueleza ni Mkenya gani tena mwingine aliwahi kujinyonga kwa sababu ya Arsenal?
 
Sijui kwa nini wakenya wanapenda kulia lia ovyo.
 
Hii ndo shida ya kwenda uwanjani umekula kitu cha ARUSHA bila kula!!!:becky:

cha ajabu wachezaj waliofungwa wako na furaha na wanacheka na timu pinzan,sababu ni mchezo uwez shinda kila siku,lakin vichwa bangi wanalia
 
Sijui kwa nini wakenya wanapenda kulia lia ovyo.

mkuu inafaa tuanze uchunguz sababu mimi mwenyewe nimeshangaa sana,kama kulia ingebid waanze wachezaj,kocha na wazamin wao,lakin tu mtu eti shabik ana familia kubwa tu nyumban anamwaga mchozi mwingine kujinyonga sababu timu imefungwa,alitaka washinde kila siku
 
cha ajabu wachezaj waliofungwa wako na furaha na wanacheka na timu pinzan,sababu ni mchezo uwez shinda kila siku,lakin vichwa bangi wanalia

Wanakunywaga viroba maana vikienea utaanza kuwakumbuka babu zako waliokufa zamani kwa kilio.
 
Serengeti boys ilifungwa juzi nililia sana hata msosi sikula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…