Tanzania hakuna mashabiki kuna wasaka matokeo

choza choza

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
1,651
2,989
Nakumbuka kwenye kufuzu AFCON, mechi ya Madagascar vs Tanzania, mechi ambayo ilikua kukamilisha ratiba lakini namna wamadagascar walivyoishangilia timu yao ilihali hata ingeshinda isingefuzu

Nikashangaa wachambuzi, mashabiki kuilaumu Stars kufungwa na Morroco 2-0,

Kila shabiki Tz ni Simba au Yanga sababu ndio timu zenye uhakika wa ushindi zaidi ligi kuu

Nenda United pale England, walipokea kipigo cha goli 7 Anfield, mechi iliyofuata OT walijaa mashabiki elfu 75, bila kujali mgogoro wao na Glazers.

Juzi wakafungwa 3-0 na Man City nyumbani ila hawakusema mashabiki wasuse kuingia uwanjani mechi ya UEFA, walijaa kama kawaida.

Huku Tanzania timu mpaka ishinde ndio ijaze mashabiki uwanjani ilihali wenzetu wanaojua mpira, matokeo siyo kigezo cha kujaza uwanja.

Leo Yanga inacheza saa 4 usiku, wasiposhinda, upepo wa mashabiki utabadilika hamasa itashuka.

Tanzania bado hatuna mashabiki, tuna wasaka matokeo.
 
Hivi ww viongozi wanatuletea mchezaji siku ya uchaguzi
..viongozi haohao wanasajili lundo la wachezaji alafu unakuta wawili ndo wachezaji misimu miwli mfururizo wanafanya kitu hichihichi....viongozi haohao wanastuliwa timu haiko vizuri wao wanakaa tu mbweee

.....alafu kazi yao kuchafuta machawa wazungumzie timu ...embu stuka na wewe usiwe Kama kenge kusikia kwake mpaka apigwe na damu zitoke masikioni ndo kusikia kwake
Unaleta habar za man u kwani hakuna mfano mwingine ....acha kufananisha vidole sawa na uma wa kulia chipsi
 
Viongozi kuzingua haimaanishi mashabiki wasiisapoti timu yao
 
Kweli mkuu Morocco tuliwapiga 3 10 years back tukafurahia sana lakini wale walikuwa wamecheza vijana ambao ndio hawa walioenda kuishangaza dunia kwenye world cup juzi wametupiga mbili wakati wachezaji walioifunga Morocco 3 washastaafu tayari kama kiemba kaseja mrisho ngasa we don't believe in process we believe in results angalia age range ya wachezaji wa real Madrid na Barcelona ni vijana wadogo sana ambao watakuja kusumbua na wameshaanza kuonyesha kitu ni nchi gani inamuweka Abdul sopu nje na Kelvin john kwasababu ya wazee kina samata na msuva.
 
Nakumbuka kwenye kufuzu AFCON, mechi ya Madagascar vs Tanzania, mechi ambayo ilikua kukamilisha ratiba lakini namna wamadagascar walivyoishangilia timu yao ilihali hata ingeshinda isingefuzu

Nikashangaa wachambuzi, mashabiki kuilaumu Stars kufungwa na Morroco 2-0,

Kila shabiki Tz ni Simba au Yanga sababu ndio timu zenye uhakika wa ushindi zaidi ligi kuu

Nenda United pale England, walipokea kipigo cha goli 7 Anfield, mechi iliyofuata OT walijaa mashabiki elfu 75, bila kujali mgogoro wao na Glazers.

Juzi wakafungwa 3-0 na Man City nyumbani ila hawakusema mashabiki wasuse kuingia uwanjani mechi ya UEFA, walijaa kama kawaida.

Huku Tanzania timu mpaka ishinde ndio ijaze mashabiki uwanjani ilihali wenzetu wanaojua mpira, matokeo siyo kigezo cha kujaza uwanja.

Leo Yanga inacheza saa 4 usiku, wasiposhinda, upepo wa mashabiki utabadilika hamasa itashuka.

Tanzania bado hatuna mashabiki, tuna wasaka matokeo.
Kuhusu Taifa Stars watu hawana mapenzi nayo tena kutokana kingizwa kwenye siasa za CCM.
 
Viongozi kuzingua haimaanishi mashabiki wasiisapoti timu yao
Sawa tunatakiwa kuisapoti....utaisapoti vipi timu ambayo viongozi baada ya kutoka hadharani na kuzungumza Hali ya timu inaendaje na wanamikakati ipi wao wanawachafuta hao machawa kuzungumza utumbo wa mavi....
Tena hawa viongozi timu ikiwa kwenye Hali nzuri hawachoki kupost mitandaoni lakini siku ya ngapi wapo kimya?

Kuanzia mohamed_cjui try agan_cjui ushuzi mangungu_na huyu kajula hakuna uhajibikaji kati ya watu hawa
 
Hivi ww viongozi wanatuletea mchezaji siku ya uchaguzi
..viongozi haohao wanasajili lundo la wachezaji alafu unakuta wawili ndo wachezaji misimu miwli mfururizo wanafanya kitu hichihichi....viongozi haohao wanastuliwa timu haiko vizuri wao wanakaa tu mbweee

.....alafu kazi yao kuchafuta machawa wazungumzie timu ...embu stuka na wewe usiwe Kama kenge kusikia kwake mpaka apigwe na damu zitoke masikioni ndo kusikia kwake
Unaleta habar za man u kwani hakuna mfano mwingine ....acha kufananisha vidole sawa na uma wa kulia chipsi
Umemaliza Kila kitu Sasa hivi machawa Wana nafasi kubwa sana
 
Sawa tunatakiwa kuisapoti....utaisapoti vipi timu ambayo viongozi baada ya kutoka hadharani na kuzungumza Hali ya timu inaendaje na wanamikakati ipi wao wanawachafuta hao machawa kuzungumza utumbo wa mavi....
Tena hawa viongozi timu ikiwa kwenye Hali nzuri hawachoki kupost mitandaoni lakini siku ya ngapi wapo kimya?

Kuanzia mohamed_cjui try agan_cjui ushuzi mangungu_na huyu kajula hakuna uhajibikaji kati ya watu hawa
Glazers wanazingua ila OT mahudhurio ni full capacity

Arsenal hawana ligi tangu 2004 lakini ndio wanaongoza kwa tiketi ghali EPL na uwanja unajaa

Spurs wana miaka 40 bila kombe la uji, ila uwanja unajaa

Sisi kina mangungu kuzingua eti hatuendi uwanjani
 
Siwezi shabikia uchungu.....
Pengine sio shabiki ni mpenzi tu wa club X.
 
Glazers wanazingua ila OT mahudhurio ni full capacity

Arsenal hawana ligi tangu 2004 lakini ndio wanaongoza kwa tiketi ghali EPL na uwanja unajaa

Spurs wana miaka 40 bila kombe la uji, ila uwanja unajaa

Sisi kina mangungu kuzingua eti hatuendi uwanjani
Naona unaleta hisia za nje kuzifananisha na ndani ...watu ambao wananunua karibu tiketi za msimu mzima uje ufananishe na sisi ambao hatununui mpaka tupigiwe kigoma au mtu ashike kispika ndo ununue sasa kwa hili sokomoko nani utamnunulisha na wenyewe wamekili Hali tete
 
Back
Top Bottom