awa ndio mashabiki wa mpira walioangua vilio sana baada ya timu yao kufungwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
<small>
</small>



Mashabiki-2.jpg Mashabiki-wa-Gor-Mahia-wakilia-baada-ya-kukosa-ushindi.jpg Mashabiki-2.jpg




hao ni mashabiki wa mpira wa timu ya kenya inaitwa gormahia wakiangua vilio baada ya timu yao kufungwa,mkumbuke kuwa kenya vijana wengi uwa wanajinyonga pale arsernal inapofungwa na man united
 
Hii ndo shida ya kwenda uwanjani umekula kitu cha ARUSHA bila kula!!!:becky:

cha ajabu wachezaj waliofungwa wako na furaha na wanacheka na timu pinzan,sababu ni mchezo uwez shinda kila siku,lakin vichwa bangi wanalia
 
Sijui kwa nini wakenya wanapenda kulia lia ovyo.

mkuu inafaa tuanze uchunguz sababu mimi mwenyewe nimeshangaa sana,kama kulia ingebid waanze wachezaj,kocha na wazamin wao,lakin tu mtu eti shabik ana familia kubwa tu nyumban anamwaga mchozi mwingine kujinyonga sababu timu imefungwa,alitaka washinde kila siku
 
cha ajabu wachezaj waliofungwa wako na furaha na wanacheka na timu pinzan,sababu ni mchezo uwez shinda kila siku,lakin vichwa bangi wanalia

Wanakunywaga viroba maana vikienea utaanza kuwakumbuka babu zako waliokufa zamani kwa kilio.
 
Serengeti boys ilifungwa juzi nililia sana hata msosi sikula
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom