Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM

Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM

Kiuno kimesalimika?? Mwaache apambane ccm ooyee.... au angetangulia tuu kutuandalia makao
 
Angedondoka akufe kabisa...

Anyway mitano tena....
 
"mkimbiwa msifanye fujo kwa kuwa mtapigwa, na nyie mkawa wakaidi mkafanya fujo mtapigwa tu, na mimi nasisitiza mpigwe tu" By Mizengo Kayanza Peter Pinda"
 
Tukio ambalo limetokea leo kijiweni maeneo ya Kinyerezi kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 23-27 amepata ajali ya kudondoka juu ya mti na kuvunjika mguu akiwa kwenye harakati ya kupandisha bendera ya Chama cha Mapinduzi.

Awali ya yote kutokana na mashahidi walioshuhudia tukio wanasema walimsihi sana asipande juu na bendera kwani mazingira ya mti wenyewe hauna hali mzuri lakini kijana alijiamini na matokeo yake akateleza.

Tumuombee kijana mwenzetu apate nafuu na apone haraka
hajafa?
 
Back
Top Bottom