Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM

Tukio ambalo limetokea leo kijiweni maeneo ya kinyerezi kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 23-27 amepata ajali ya kudondoka juu ya mti na kuvunjika mguu akiwa kwenye harakati ya kupandisha bendera ya chama cha mapinduzi. Awali ya yote kutokana na mashahidi walioshuhudia tukio wanasema walimsihi sana asipande juu na bendera kwani mazingira ya mti wenyewe hauna hali mzuri lakini kijana alijiamini na matokeo yake akateleza.
Tumuombee kijana mwenzetu apate nafuu na apone haraka
Angevunjika kichwa kabisa!!!
 
Usikute hata alijitelezesha makusudi ili aumie aende viral serikali imuone! Aliona angeiweka tu hivi hivi asingejulikana maana bendera za chama zimejaa nyingi tu na hatuwajui walioziweka ila yeye alitaka uwekaji wake uwe unique!
 
Tukio ambalo limetokea leo kijiweni maeneo ya kinyerezi kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 23-27 amepata ajali ya kudondoka juu ya mti na kuvunjika mguu akiwa kwenye harakati ya kupandisha bendera ya chama cha mapinduzi. Awali ya yote kutokana na mashahidi walioshuhudia tukio wanasema walimsihi sana asipande juu na bendera kwani mazingira ya mti wenyewe hauna hali mzuri lakini kijana alijiamini na matokeo yake akateleza.
Tumuombee kijana mwenzetu apate nafuu na apone haraka
Huyo atakuwa Bavicha alikuwa anawanga mchana!
 
WENGI WENU MLIOANDIKA HUMU MNACHUKI NA CCM SIO UTU MWENZETU AMEUMIA AKIWA KWENYE HALAKATI ZA KUTANGAZA CHAMA ANACHOKIPENDA NA KUONYESHA UZALENDO NAMPA POLE NAKUMTAKIA APONE HARAKA
Akitangaze nani hakijui!? Angevunjka na macho kabisa
 
Angeteguka uti wa mgongo ndio ingekaa poa sana
 
Tukio ambalo limetokea leo kijiweni maeneo ya kinyerezi kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 23-27 amepata ajali ya kudondoka juu ya mti na kuvunjika mguu akiwa kwenye harakati ya kupandisha bendera ya chama cha mapinduzi. Awali ya yote kutokana na mashahidi walioshuhudia tukio wanasema walimsihi sana asipande juu na bendera kwani mazingira ya mti wenyewe hauna hali mzuri lakini kijana alijiamini na matokeo yake akateleza.
Tumuombee kijana mwenzetu apate nafuu na apone haraka
Aitwe Ikulu faster apongezwe.
 
WENGI WENU MLIOANDIKA HUMU MNACHUKI NA CCM SIO UTU MWENZETU AMEUMIA AKIWA KWENYE HALAKATI ZA KUTANGAZA CHAMA ANACHOKIPENDA NA KUONYESHA UZALENDO NAMPA POLE NAKUMTAKIA APONE HARAKA
Upendo alishaonyeshwa kwa kutahadharishwa kuwa asipande lkn akakaidi,kwa hiyo acha aisome Namba ya chama chake pendwa.
 
Back
Top Bottom