Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Tukio ambalo limetokea leo kijiweni maeneo ya Kinyerezi kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 23-27 amepata ajali ya kudondoka juu ya mti na kuvunjika mguu akiwa kwenye harakati ya kupandisha bendera ya Chama cha Mapinduzi.

Awali ya yote kutokana na mashahidi walioshuhudia tukio wanasema walimsihi sana asipande juu na bendera kwani mazingira ya mti wenyewe hauna hali mzuri lakini kijana alijiamini na matokeo yake akateleza.

Tumuombee kijana mwenzetu apate nafuu na apone haraka
 
WENGI WENU MLIOANDIKA HUMU MNACHUKI NA CCM SIO UTU MWENZETU AMEUMIA AKIWA KWENYE HALAKATI ZA KUTANGAZA CHAMA ANACHOKIPENDA NA KUONYESHA UZALENDO NAMPA POLE NAKUMTAKIA APONE HARAKA
 
Back
Top Bottom