Avril: Kenyan Musician and Model

Avril: Kenyan Musician and Model

Hadi yule dimpoz wanayesema hapigi mechi....

Nasikia keshakula hapo? Sasa sijui kala vipi?
 
Hadi yule dimpoz wanayesema hapigi mechi....

Nasikia keshakula hapo? Sasa sijui kala vipi?
Walifanya Kazi alivyorudi bongo Ommy vishimo akanza kujiogelesha ooh yule mtoto n mkali hamna mwanaume asie mtamani
 
Huyu demu yupo katik series moja ya kenya yaitwa shuga yupo kawaid tu ...hizo kwa picha ni uchawi wa kamera na make up....wanaume wenyew ndo sisi tunasema hatumtaman...ka vip weka thread wadau wafunguk uone msanii gan EA anavutia watu..kama atakuw na list kubwa ya wanao mkubali
Demu mzuri hata mie namtamani uwa kila cku lazima niangalie tamthilia ya sumu la penzi nimuone tu
 
Wakuu, nitapataje kitufe cha STYLE CHOOSER humu JF ili niweze kuondoka kwenye matumizi ya DESKTOP style niende kwenye WAP style? mbona kile kitufe cha kubadili STYLE sikioni tena? anayakiona tafadhali asaidie kunielekeza kilipohamisiwa tafadhali. hii desktop style inanizingua sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom