Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
[
Umemfananisha na avril, huyu si ndo yupo na diamond kwenye video ya "kesho"
ni mzuri.....
is she nameless?
Hata jina lake simjui ila ni mzuri aseee
Hata jina lake simjui ila ni mzuri aseee
Duh......huyo zari ndio kabali yao huko uganda
tupe source ya hao wanaume waliokiri kumtamani. Usidanganyike na picha zilizofanyiwa editing.
mie najua ni Avril ni nani kwani huyu
Wait, mdada wa kwenye video ya kesho ni avril???
nahisi nachanganya watu hapa
Aende zake.....hata mie naongoza kwa kutamaniwa na mapedejee ya Kinondoni.