newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,378
- 550
Siwafahamu hawa 540, lakini hiyo nauli wanayotoza kwenda MZA na kurudi DSM, sijui kama inaendana na huduma, usalama, n.k. Bure gharama jamani!!! Sikubaliani na Mahesabu kuhusu PRECISSIONAIR kuiua ATC, kusema la ukweli ni ufisadi ndo umeiua ATC (a.k.a Any Time Cancellation)!!!
sijui ulikuwa wapi? wakati Basil Mramba alikuwa waziri anayesimamia ATC at the same time akiwa Share holder wa Precision air