Avatar

Na nyie mnaposafiri na mashati ya waume zenu ambayo hayajafuliwa ili muwe mnajifariji na harufu ya kikwapa mbona hamsemi? Au mnafikiri hatuyajui hayo?
ha ha haaaaaaaaaa. umenikumbusha kitu
 
Mbona huu msisitizo umezidi? una ajenda gani ya siri wewe?Kwani na wewe unamuvuzishwa na avatar?

Afu na wewe huo mu-avatar wako usiubadilishe wasije waruba wakanitekea vyangu thru PMs! LOLZ!
 
Na nyie mnaposafiri na mashati ya waume zenu ambayo hayajafuliwa ili muwe mnajifariji na harufu ya kikwapa mbona hamsemi? Au mnafikiri hatuyajui hayo?
Jamani hii sijawai sikia na haijawai nitokea.Kama malavidavi ndio haya basi kazi ipo.lakni nimewahi sikia wanasema ;mapenzi ni kama utoto na mapenzi ni uchafu pia.
ila sometimes inakuwa too much,hadi avatar jamani mtu udenda unamtoka? afu watu wengine huwa wanaweka avatar za warembo kumbe wenyewe ni madume tena babu kizee.
 
Kwani na xpin naye huwa anasumbuliwa sana kwenye PM? Carmel yeye tatizo ni Avatar.Sasa xpin tatizo itakuwa ni nini?
tatizo litakuwa valuu!wanawake wanapenda sana pia BED-ATHLETISTS:D
kwa hiyo tatizo ni avator yake ya ATHLETICS(IN BED)
 
Kiongozi kaangalie nimekugongea nini kwenye hii yuziful posti! You are now back to your sense! Thanks man! Baambie papaa!

Nimejitolea kuwa wa kwanza kutongozwa!
na bahati yako mbaya hakutongozi mtu hapa.
 
Jamani hii sijawai sikia na haijawai nitokea.Kama malavidavi ndio haya basi kazi ipo.lakni nimewahi sikia wanasema ;mapenzi ni kama utoto na mapenzi ni uchafu pia.
ila sometimes inakuwa too much,hadi avatar jamani mtu udenda unamtoka? afu watu wengine huwa wanaweka avatar za warembo kumbe wenyewe ni madume tena babu kizee.
tru; true
 
Hapo sasa, halafu mtu anakesha na mi PM , ni ajabu sana kweli mtu kukurupuka kwa ajili ya hizi AVATAR.
 
Kumbe ndio maana aliitoa ile avatar? alikuwa anasumbuliwa sana.
AMESUMBULIWA SANA!kuna wakati server ya jf ilijaa na mtandaoo ukawa low.tatizo lilikuwa ni pi-emu za mumeo.ikabidi invisible aandike barua ya kumuomba muhishimiwa abadilishe
 
Back
Top Bottom