Avatar za akina dada

i hereby overule all your submissions. according to JF registration procedures there is no clause that prohibits members to use certainn avatars.Each member is free to use any pictures she/he dims fit.
 

Mkuu mimi ni mwanamke lakini Avatar yangu ni ya kawaida na sijawahi badilisha tangu nimejoin JF. Avatar yangu might be representing me?!!
 
Exactly hii ni moja ya avatar ambayo sielewi ina maanisha nini.
 
hahahahahah lol
na mdoma kasha uandaaa hahahah lol
we ucheki tu lol

AfroD....hii ya kwako inanifanya nivisualize kuwa you look like it.....yani basi tu lakini nakuzimia sana ila sasa sijui kama nakuzimia kivipi. Najua uko aidha Aussie ama NZ, bisha?
 
Thats why nimeweka my own image!
 
Thats why nimeweka my own image!
........................................................


Kwa vile umeridhia kuiweka mwenyewe hakuna tabu lakini ingekuwa imetolewa kwenye front page na UWAZI nafikiri ungesema wanaingilia privacy za watu.
 
......aiseeeeee huyo aliyoweka avatar inayoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri ana lake jambo.

Mimi nauliza Pretty kama watu wakiweka zakwao humu kutanoga kweli mana hapa bwana kuna kila aina unaweza kuwa unchangia mmada na Baba yako sasa ikija kuweka avatar ukamuona dingi nae akaona kumbe nimwanae huoni kaziitakuwa hapo mim napenda ziendele hizihizi kwanza zinavutia hasa ya Pretty na yule anae vua kufuli hiyo safi sana
 
Wengi wenye hizo Avatar za kuvutia sura zao halisi ni za kunyweshea watoto dawa! Ukitaka udhibitisho Ni PM nikutajie
 
i hereby overule all your submissions. according to JF registration procedures there is no clause that prohibits members to use certainn avatars.Each member is free to use any pictures she/he dims fit.

No its not true
This is a public forum, pipo are hereby requested to use polite avatars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…