Avatar ya Meezy

hommie Asprin saa 06.23 upo chit chat? charminglady hanywi iyo makitu ila kwa wewe ni wastani wa kreti 600 ambazo ni bia 12000 ambazo ungezinywa kwa siku 3000 sawa na miaka 8.2 yaani hadi ustaafu kabisa kwa mkoloni! manina
Umeona sasa. Akili za kuambiwa?
 
Umeona sasa. Akili za kuambiwa?

hahaha akili za mbayuwayu changanya na zako....sasa hapo bia ni fresh kila mwaka verosa haiwezi kukaa miaka yote hiyi ikiwa hiyvo hivyo. Kuna kaugomvi kananukia mahali hapa hapa hebu chungulia aisee. (halafu jumamosi hii, lazm nihakikishe umeamkia club huku )
 
shemeji upo? sikusomi mtaa wa kati!
 
shemeji upo? sikusomi mtaa wa kati!

Shemeji yangu cacico mwaaaa! Nipo saaana shemeji jana si nilikwambia namtangulia Asprin? haaaaaa ndio vile....hebu wakuache shemeji yangu.....
 
Last edited by a moderator:
Mwali naomba summary kama jibu limeshapatikana.
 
Last edited by a moderator:
Mwali naomba summary kama jibu limeshapatikana.
Jibu lisha patikana wangu. Hii avatar ni logo ya MORTAL KOMBAT
It is a movie that got very ffamous in the mid 90s (ilikua I na II)
Then ikaletewa video game (or did the video game come first?)
Sasa kukawa na vita kubwa kati ya X-Box, Nintendo na Play Station

Play Station ilitumia sana Mortal Kombat na God of War to win it.
Katika Mortal Kombat, the leading games ni: MKI, MKII, Deception
Shaolin Monk (adventure, third person), MK versus DC, Harmagedon.
Uncle Kaizer ataninunulia PSIII and we will have a "loser gives pad"...
 
Last edited by a moderator:

mimi najua jibu, natoa Clue: KUNA MOVIE NA GAME YAKE ambazo ni addictive sana na jina linaanzia na "M" linaishia na "T"
 
Last edited by a moderator:
mimi najua jibu, natoa Clue: KUNA MOVIE NA GAME YAKE ambazo ni addictive sana na jina linaanzia na "M" linaishia na "T"
From the words in Bold naona wewe pia ni mwanachama
Who are your favorite chaaracters? (Wangu ni Sub-0)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…