Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
...polisi kamata mwizi meenAngalia na ya kwangu
...polisi kamata mwizi meenAngalia na ya kwangu
napropose figganigga under malezi ya Lady doctor, relax akikuacha nitakuja kukuchukua tena, hofu ondoa!
Mbona sasa anakuletea maua? Tena red roses... mmh
Ha ha ha
mmmh hadi nakuonea huruma maskini, huyu Heaven on earth alikuwa anabeep fire, sasa nyumba imeungua
My wii nyumba imeungua vibaya hadi najuuta!!!!!
mmmh hadi nakuonea huruma maskini, huyu Heaven on earth alikuwa anabeep fire, sasa nyumba imeungua
unacheka nini wakati mwenzio nalia huku
Hapana usijute, nimerudisha moyo nyuma! wewe unajua nakupenda halafu unaenda kuwaambia waandishi wa habari kuwa eti mm ni mme niliejihalalishia mwenyewe kweli inauma hiyo, acha kabisa!
We si unajua sina maisha bila wewe, tangu jana nimezimia ndio nimezinduka sasa hv!
Nakupenda sana my Heaven on earth, jaribu kutulia nikupende!
Namshukuru sana Himidini kwa ushauri wake mwanana, keep it up!
pole mumiii, mbona mm bado nipo bebii, hata asubuhi nimekunywa chai nilikuwa nakuona kwenye kikombe! nakupenda eehhh! mwaaaaaaaaaaaaaaaa njoo nichum basi wife wangu kipenzi! njoo jamani, usichelewe basi eeehhh!!!!
Nimesikiliza kidogo tu, nikaanza kulia machozi ya furaha moyoni! jamani mke wangu back home jamani, kuna helcopter huko nikukodie?! anyway polisi watakusumbua!Nashukuru sana jamani,
taniona leo jinsi nilivyokonda,ukimbau mbau umeongezeka
sikiliza huu wimbo,yunaupendaga sana kuusikiliza tukiwa chumbani
Michael Bolton - How Am I Supposed to Live Without You Lyrics
njoo haraka mpenzi wangu, just imagine jana sikulala kabisa the whole night! yaani mm bila wewe ni apeche alolo!Nakuja,hapa nafungasha mizigo yangu naja!!!
Himidini shem wangu wa ukwee ushukuriwe
kokote uliko!!!!
^^
Pendaneni ktk kweli,
Huu ni mlima mfikiri,
Kuna adui wakali,
Msihadaike kwa shari,
Watasema mengi,
Kaeni chini mfikiri,
Hakuna penzi rahisi,
..
Nimejawa furaha sana
Msamaha jambo la maana
Katika hilo umetimu UNDENIABLE
Nawe Heaven on earth
Kutenda kosa si kosa,
Kurudia kosa ni kosa,
Usimtanie akupendae,
Utani uwe chumbani,
Hapo utaleta maana.
..
Shikaneni mikono,
Tabasamu liwe moyo,
Wajiondoe wa choyo,
Penzi lenu liwe moto,
Adui waishie ndoto,
Wawili wapatanapo,
Furaha ni kwetu tuwapendao.
^^
^^
Umetunga vizuri we noma aisee^^
Pendaneni ktk kweli,
Huu ni mlima mfikiri,
Kuna adui wakali,
Msihadaike kwa shari,
Watasema mengi,
Kaeni chini mfikiri,
Hakuna penzi rahisi,
..
Nimejawa furaha sana
Msamaha jambo la maana
Katika hilo umetimu UNDENIABLE
Nawe Heaven on earth
Kutenda kosa si kosa,
Kurudia kosa ni kosa,
Usimtanie akupendae,
Utani uwe chumbani,
Hapo utaleta maana.
..
Shikaneni mikono,
Tabasamu liwe moyo,
Wajiondoe wa choyo,
Penzi lenu liwe moto,
Adui waishie ndoto,
Wawili wapatanapo,
Furaha ni kwetu tuwapendao.
^^
^^
Yeah ni kweli napaswa kuonea huruma sana, unajua nampenda sana huyu mrembo na anajua fika! nimeamua kurudisha moyo nyuma mapenzi ya dhati ninayo juu yake!
haya basi nawewe usiwe unapotea sana kihivyo, sikunyingine utajakuta Heaven on earth ameshaolewa mshukuru best yangu Himidini la sivyo yangekuwa mengine sasa