Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Ahaaaaa
kwani hahiwezekaniki!!!!!!!!
mie niko salama,ukipotea sana wenzako wataanza kutake care!!!!!!
mie nakaogopa kale ka msemo ka "out of site,out of mind"
usijali, usijali am back! nishawastukia kumbe nikiwa out of site, wanaanza kwa kusifiasifia eehhh! ok sasa nashinda humu humu nione wabaya wangu! halafu we mshana jr nina shida na hayo macho yaliyoona avatara ya nke ya ntu! nazihitaji jioni hii ya leo, nina kazi nazo! nashukuru sana Himidini kwa kunimulikia huyu mwizi meeeen!
Wife wangu chukua hizi silaha hapa:
1.watakusifia
2.watakupa pole
3.watakupa zawadi
4.watakuwa karibu nawe
5.watakusaidia
6.watakubembeleza
7.watakushikashika, then
wanateleza pale kati!
Ukifanikiwa ku-resist zote hapo, you won the fight!
Copy: mshana jr!
Du umekuwa mpole na lugha ya kubembeleza kweli ila msimamo wangu uko palepale nimemzimia mtoto ile mbaya nanikwambie wazi siogopi za uso wala za chembe
Hinawezekana. Tena sana tu.
Heti mpwa kwani havata yangu hikoje? Hujue mimi sijaihona
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unajua mimi napiga zongo...!?
hiyo havatar inahonekana vizuri sasa.....
she looks like me when I was a kid
Teh teh!! hata mimi natumia simu wala sioni avatar
Hapo underlined, keep fooling yourself! Go on, you fail i deserve your kabang! sawa mkuu!!!
Unajua mimi napiga zongo...!?
japo zongo sijui maanake vema, ila nahisi hata mimi napiga zongo....!?
nataka kuwa One & Only tu....
kwa nini umemwita jamani!!!!!!!
^^
Pole kama nimekufukuzia ka ndege Tausi,,,kuanzishiwa thread si nchezo ujue
^^