Avatar ya Heaven on earth

we UNDENIABLE ulikuwa wapi siku zooote hizo hadi kuna watu wanataka kinitia machoni huku
Acha kabisa, huyu jamaa kaniharibia siku kabisaaaaa, nilivyo na wivu! yaani anataka na yeye aonje mbingu akiwa angali yupo ardhini! mama nipo, mitikasi tu mke wangu kipenzi! unajua tena majukumu ya kiutu uzima, yanatufanya tuwe adimu huku jukwaani! mzima wewe wangu wa mtima wangu!!!!!!
 

mie niko salama,ukipotea sana wenzako wataanza kutake care!!!!!!
mie nakaogopa kale ka msemo ka "out of site,out of mind"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…