Avatar problem...

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Hey avatar yangu ipo .gif lakini kila niki-upload naona haishake ati...nimejaribu sana nimeshindwa,nimejaribu kusoma rules nimetoka KO...hembu nielimisheni hapa. OS yangu ni Linux UE 2.8(nadhani hii sio tatizo)
 
hapo ilipo inatisha....ikianza kushake tena itakuwaje?...mweeee
 
hapo ilipo inatisha....ikianza kushake tena itakuwaje?...mweeee

halafu PRETA....we haya tu...ngoja nikuneemeshe kwa thanx kwanza, then njoo kivingine...nipe tafu basi nijue nini tatizo!!!
 
halafu PRETA....we haya tu...ngoja nikuneemeshe kwa thanx kwanza, then njoo kivingine...nipe tafu basi nijue nini tatizo!!!

PM invii......anaweza kukusaidia.....ila tafadhali bana....liache hivyo hivyo......mi naliogopa......si linang'ata?
 
mkuu ebu acha hyo k2 bana hivyo tu inatisha ikiaanza kucheza siinaweza kungata watu
 
duh wachangiaji msaada wenu ni kama nguvu za giva...lakini msg sent ngoja niichaje hivihivi, ila liking'ata watu mi nitagharamia matibabu kule Loliondo kwa Babu...usafiri juu yako!!1hahaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom