Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Unapotizama avatar na username ya mwana jf unaweza kujua uwezo wake wa kufikiri??!!!.
'Uwezo' wa kufikiri?...hapana!Unapotizama avatar na username ya mwana jf unaweza kujua uwezo wake wa kufikiri??!!!.

sidhan kama hoja yako inaweza kuwa na ukweli!....

naandika hili bandiko kwa uzoefu mkubwa tu...!

ninawafahamu jf members wengi kidogo "personnelly"...!

wako tofauti sana na wanachokiandika...!IN MANY WAYS!

some are lovely...and some are funny!

some are strange and some are different!

lakin life is good

Unapotizama avatar na username ya mwana jf unaweza kujua uwezo wake wa kufikiri??!!!.
Si kweli kwa mtazamo wangu.
Unapotizama avatar na username ya mwana jf unaweza kujua uwezo wake wa kufikiri??!!!.
Anataka kukuambia wewe unafikiri kama kinyonga........kaaaazi kwelikweliKwa hiyo unataka kutuambia kwamba wewe hiyo avatar yako inakuwakilisha 100%??