nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,278
- 3,768
ndo yupo chuo hapo. sema masomo hayajaanza. huyu atakua anapotea siku za paper tu.hivi wr unafikiri huyu ana ubavu wa kukosa jf wiki? kama vipi atajitahidi aingie kama vistor. kama huamini tumwambie paw ampige ban halafu uone atakavyo toa povu. mambo vipi mkuu?. mia
Mambo powa mzee wa mia, umemuona Kongosho amekuja kivingine