Avatar mpya ya Kongosho mmmmmmhhhhhh!!!!!

Hahahaaa...hili nalo neno. Usikute jamaa wanaogopa wakianza kukujadili utawzukia usiku. maana umekaa "kimlingotini" ile mbaya

dah?
Yaani broda na uhandsome wote huo bado nimekaa kimlingotini?
 
Kwel jf is never borin! Soure:loading:
kongosho dagaa anaitwa sardines now tupa mfano.

Bishanga una makamo gan!
Lizzy kila nikijarib kukufikilia cpat picha.
 
Hiyo dagaa inatamkwa sadinya?
Maana kuandika ni tofauti na kutamka

Kwel jf is never borin! Soure:loading:
kongosho dagaa anaitwa sardines now tupa mfano.

Bishanga una makamo gan!
Lizzy kila nikijarib kukufikilia cpat picha.
 
Babu ODM,
huu utundu wa kusuka ukili ukiwa umekaa kwenye kiti umeanza lini?

Maana raha ya ukili mkekani.
Unaweza kuwa mwema ukanibadilishia hiyo avatar ili niwe na amani ya kujibu swali lako?

Kwanini unapenda kunikata stimu namna hii?
 
Kabakabana mbishi kutoa mkono hapo
Ngoja nijaribu kumshawishi

Ila babu kumbe na wewe mtundu
Ndo maana ADi na MJ1 huwa hawakuachi mbali
Basi mie nataka niwe nakung'oa ndevu

Kwa avatar hiyo? No way!

Utundu wangu umeujuaje? Huogopi wakati unaning'oa ndevu naweza kukufanyia utundu?
Na umejuaje ADI na MJ1 huwa hawaniachi mbali, unachungulia chumba cha ODM?
 
Hiyo avatar tu
Kwani wajukuu wa jinsia ya ME hatuchezi na babu??
Mfumo jike huo

Najua huwezi nifanyia utundu, sababu ya hii jinsia

Sikuchungulia makusudi
Pazia la chumbani kwako lilifunguliwa na upepo wakati napita

Mi sina mahaba na wajukuu wa kiume....

Wa kike wana raha zao bana..... wanayachuna mabuzi yao hela wanamletea babu yao.
Haya ya kiume yanataka nifa upesi yarithi mali zangu.... Yaani hata kuuza haka kabaiskeli kangu yananikataza nisiuze nipate hela ya ugoro....

Afu si wajua ni heri mjukuu awe malaya kuliko shoga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom