Avatar ipi yenye mvuto ? Kati ya..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Avatar ipi yenye mvuto ? Kati ya.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Feb 29, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wanabodi,
  Katika hizi siku za karibuni , nimefatilia katika vituo vyetu vya Tv hapa nchini, nimegundua uwepo wa ushindani mkubwa katika vituo hivi.
  Naongelea pale inaposomwa taarifa ya habari.
  Vituo vingi vimebadili ama kuboresha view image ktk uenekano wa eneo pasomwapo taarifa ya habari .
  Kwa mimi naichukulia image hiyo kama ndiyo avatar ya kituo husika .
  Navutiwa sana na avatar ya ITV kuliko zingine .
  Mdau mwenzangu una sababu yeyote ya kutoniunga mkono kwamba ITV ina mvuto zaidi image yake kuliko zingine ?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  anza na avatar za jf... Mi huku torabora sioni ITV etc
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, hivi wameanza kuuza share?
  IPO ni vipi?
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tatizo mi natumia king'amuzi so hakishiki ITV wala STAR TV
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Aisey! Tolabora ?
  Kuna mji unapakana na huo jina lake hua linanitisha sana unaitwa Kunduz.
  Haya za Jf unasuuzwa na ipi?
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  52 ! Pole weee!
  Unapitwaje na mijimambo ?
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  navutiwa na avatar ya tv iman na tumaini
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  By avatar unamaanisha nembo/ logo?
  Mie navutiwa na nembo ya jamhuri ya muungano ya tz.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkulu ,
  ingekua tunasafiri Dar- Moro , basi mwenzangu umeingia Moro town mie UMENIACHA Msamvu .
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Rudia,tena...
  Mi sijaelewa unachokitaka... Ila ina uhuru wa kuendelea kusikiliza wengine walioelewa...
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mbona hii huonekana tu, pale Mkuu wa kaya anapohutubia Ikulu tu ! Kama mda huu TBC Jeikei yuko hewani ndiyo hiyo huonekana.
  Hujataja kituo specific .
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hongera !
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kila kituo cha Tv , iwe TBC, CNN, STAR TV , CHANEL TEN , pale inaposomwa taarifa ya habari hua kuna taswira au image ya uonekano wa studio, hutofautiana kati ya kituo kimoja na kingine.
  Kuna mvuto wa manjonjo kati ya kituo na kituo.
  Mvuto huo ndy nilioulenga.
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie navutiwa na avatara ya c2c!
   
 15. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ndetichia mweupe!
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  si -tu - si ! ? ( c2c) Umeniacha Msamvu !
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,068
  Likes Received: 6,522
  Trophy Points: 280
  Navutiwa na avatar ya mtambuzi. theboss. excellent. bujibuji.
   
 18. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Navtiwa na avatar ya NDTV.
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Shukran sana,hata mi navutiwa na hii yako ila siyo ile ya juzi.
   
 20. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mmh hizi avatar tutasema mengi
   
Loading...