Avatar ipi yenye mvuto ? Kati ya.....

Avatar ipi yenye mvuto ? Kati ya.....

Mi nlijua Avater za humu!,
BTW mi inanivutia ya supa spoti.
MP.
 
anza na avatar za jf... Mi huku torabora sioni ITV etc

avatar31029_10.gif
nimependa hii yako sana loh
 
mi nipo mkuu wangu ,
ila huku kijijini shida ya internet si unajua tena ....:scared:

unaendeleaje lakini?

Ha ha ha kijijini?
Nimefurahi kukusikia.
Kumbe uko kijijini, nitakuja huko kukusabahi.
 
Back
Top Bottom