Australia Awards Applications was a success

Australia Awards Applications was a success

Joined
Sep 10, 2016
Posts
63
Reaction score
170
Congratulations we made it!

Kwa namna ya pekee nawashukuru wote Kwa tulivyoshirikiana katika kufanikisha uombaji wa Hizi scholarship. Deadline Kwa masters ilikua juzi Dev 15, 2016. Taarifa tulizoletewa baada ya deadline kufika ni Kwamba Kwa mara ya kwanza watanzania walio giz kwenye website Yao ni 2168, the largest in the region and only second to the big brothers Nigeria at 7,000. Unfortunately hata baada ya watu wote hao Kuona hiyo website only 227 applied, wanawake 68 Na wanaume 159, Tunajioongeza Kwa Kuwa hii ni record breaking, kufika Hapo tangu kuzaliwa.

Nawapongeza sana Vijana Mashujaa wetu waliotuwakilisha vema. Tuendelee kuwaomba wote wapate hiyo scholarship. Siku nikipata Nita share my experience of the process Kwa faida ya wote.

Once again asanteni admin wote wa Mitamdao iliyofanya kazi Kubwa ya kupeleka ujumbe Kwa members wenu
 
Back
Top Bottom