Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,072
- 25,176
Movie za Kitanzania maana yake ni pornography au kitu kinachofanana na hicho. Sijasikia muvi ya kitanzania inayoongea mambo mengine ya jamii zaidi ya hizi semi-pornography. Hakuna hata movie yoyote ya kutoka Tanzania ninayoweza kuilinganisha na movie kama John Q, Murder at 1600, Clear and Present Danger, US Marshals, Rules of Engagement, The Negotiator au movies za namna hiyo zinazocross jamii.